Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Majembe gani? Kama yupi?Wajumbe wamedisapoint sana kwa kweli, wamefyeka majembe yote
Wajumbe wamedisapoint sana kwa kweli, wamefyeka majembe yote
Hatuchukui makinikia tunayo dhahabu safiiiiiiiii. Hizo takataka zenu pelekeni CUF na TLP mnaoshirikiana upuuzi wenu.
Sababu kubwa ya watu kutojitokeza kugombea kupitia vyama vya upinzani ni kutokuwa na tume huru ya uchaguzi, kutokuwa na sheria, na kanuni zinazofanya uwanja wa ushindani kuwa sawa. Wengi wanaona ni kazi bure kutumia raslimali mahala ambapo matokeo ni hasi.Ndugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea waliopo ni wale waliokuwa wabunge miaka iliyopita. Ndio sababu hadi sasa hakuna ratiba kamili ya lini ni mwisho kwa watia nia kwa wagombea ubunge kuchukua fomu kwenye majimbo mengi. Hili si CHADEMA tu bali hata ACT, CUF, NCCR, CHAUMA nk.
Ni dhahiri watia nia waliochujwa CCM ndio karata pekee iliyobaki kwa vyama vya upinzani ili kushiriki uchaguzi wa ubunge na udiwani sehemu nyingi Tanzania.
Hoja imewekwa mezani
Hawa ni lulu chadema
Basi tunamsubiri Makonda na Kimei huku mtaa wa piliNdugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea waliopo ni wale waliokuwa wabunge miaka iliyopita. Ndio sababu hadi sasa hakuna ratiba kamili ya lini ni mwisho kwa watia nia kwa wagombea ubunge kuchukua fomu kwenye majimbo mengi. Hili si CHADEMA tu bali hata ACT, CUF, NCCR, CHAUMA nk.
Ni dhahiri watia nia waliochujwa CCM ndio karata pekee iliyobaki kwa vyama vya upinzani ili kushiriki uchaguzi wa ubunge na udiwani sehemu nyingi Tanzania.
Hoja imewekwa mezani
Walipounga juhudi walidhani wanaenda peponi. Kumbe huko kama huna 'mpunga wa kutosha' huna chako.wameshindwa au wameshindwa kugawa rushwa?
Watoa rushwa ni lulu huko ccm. Sioni chama cha kusubiri watoa rushwa wa ccm, kisha wawe wagombea wao.
Ndugu zangu,