Nipe maujanja mkuu mbali na rangi nifanye kitu gani ili niendelee kuwepo mjini?Mjini unashindwaje maisha mkuu. Haja nenda kalime sasa
"Bado wako hai" ndio utata, ulitakaje kwa kusema bado wapo hai?hukuelewa nini hapo? ni wazee sana hawana uwezo, nilikuwa napiga rangi kupata riziki yangu na yao pia. Akili yako.....
Mimi nilikuwa fundi rangi lakini sasa kazi za kupaka rangi zimepungua Sana, nina mke, watoto wawili na wazazi wote wako hai wananitegemea. Kodi ya chumba, chakula na maji na umeme vimeninda.
Nifanye kazi gani ingine au nirudi kijijini nilikotoka?
Ujue wengine mambo yao supa.Uzi Mbona Umesuswa Huu!
Ni mwendo wa kuridhisha tumbo tu usife....hayo mengine yatajijuuuMjini ukiweza kuhudumia tumbo tu inatosha,pakulala hata kibarazani kwa mama bite panatosha
Hilo ndilo balaa kabisaa, "mpemba" na rafiki zangu wenye ahueni kifedha wanaitumia hali yangu kumnyapia wife. Nikitoka kuhangaika huko na huko wao wanahamia kwa shemeji yao kumjaza ujinga. Naona iko siku tutakufa kwa maradhiMkeo ana ujuzi gani? Kwanini msisaidiane kutafuta?