madola
Member
- Apr 16, 2012
- 9
- 2
Kama mnakumbuka miaka ya nyuma wale waliosoma BCOM University of Dar es salaam walikuwa wanamajor au wanachagua kwenye core kozi mwaka wa pili kama utasomea accounting,human resources, management science,finance au banking.
Lakini ukimaliza chuo mwaka wa mwisho vyeti vyao havikuandikwa kwamba huyu mtu amesomea nini na badala yake wote walipewa vyeti vyao aina moja ambavyo viliandikwa 'Bachelor of commerce and management,BCOM".
Sasa shida inaanzia hapa,mfumo wa sekretariet ya ajira haitambui title bila kujua core kozi ,kwa sababu aioneshi ni kwa kada gani.
Kwa mfano ulisoma account na ukaomba kazi kupitia sekretariet wakati cheti chako Kama nilivyoeleza hapo juu akioneshi neno accounting kwenye cheti watakwambia wewe hujasoma accounting.Kwa zamani vyeti havikuandikwa tofauti na sasa wanaandika BCOM in Accounting,kwa hiyo kwa hao waliosoma zamani system inaonesha "no specification in certificate" yaani ueleweki amesomea nn japo unaambatanisha transcript system inaangalia cheti.
Hii inawapa shida wanafunzi wa UDSM sana kwa sasa wanapoomba kupitia sekretariet ya ajira kwa wale waliosoma wenye vyeti bila specifications.