tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume
tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume
duh kiongozi katika uliowataja mbekenga tu ndo namfaham saiv yupo kuzungu sec bunda alipata kashfa mbaya sana ya kutumia vyeti vya mdogo wake kumbe alikua hajasoma pamoja na mume wake seko mim nimetoka pale ile shule ikiwa chuoni mwaka 2000 palikua patamu kweli mkuu