waliosoma bomani sec miaka ya 1999 mpaka 2003

waliosoma bomani sec miaka ya 1999 mpaka 2003

shigegele

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2014
Posts
211
Reaction score
25
tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume
 
tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume

Naam ndugu namkumbuka Mwanankina, Pasific, Majura, Mbekenga, Urasa
 
Naam ndugu namkumbuka Mwanankina, Pasific, Majura, Mbekenga, Urasa

duh kiongozi katika uliowataja mbekenga tu ndo namfaham saiv yupo kuzungu sec bunda alipata kashfa mbaya sana ya kutumia vyeti vya mdogo wake kumbe alikua hajasoma pamoja na mume wake seko mim nimetoka pale ile shule ikiwa chuoni mwaka 2000 palikua patamu kweli mkuu
 
Back
Top Bottom