Waliosoma chang'ombe primary school mpo?

Waliosoma chang'ombe primary school mpo?

Bijou

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,248
Reaction score
360
jamani wana jamvini, je mpo mliosoma Chang'ombe Primary School? shule ya mazoezi ya Chuo cha Ualimu Chang'ombe ambacho sasa ni Chuo Kishiriki cha U Dar, hebu tuwakumbuke baadhi ya walimu ambao walitufanya leo "To walk tall". Hawa ni baadhi:-
Mwl Kirwanda
Mwl Shilatu
Mwl Matanyanga
Mwl Ndanshau (Mrs)
Mwl Baruti (Mrs)
Mwl Ngonyani (Mrs)
Mwl Taratibu (Mr and Mrs)
Mwl Matemu
Mwl Kyulule (Mrs)
Mwl Rwechungura (Mrs)
Mwl Bituro (Mrs)
Mwl Josephine Mahiga
Mwl Nkane nk nk

Wana jamvi endeleeni na list, JE WAKO WAPI NA WANAFANYA NINI? TUJUZANE NIMWKUMBUKA MWAKA ARUBAINI NA SABA!!!!! those good old days, uji wa buruga, daftari vitabu mnapewa shuleni nk nk nk
 
Mateleka
Dirisha
jengo
Nachenga
Mushi....mchana darasa la nne,...karibu sasa tutaondoka..
Hiza
Bila kusahau maandazi ya domestic na askirimu za mwalimu Nyenzi
 
Mzee ndevu alikuwa anauza maembe na mihogo ya kukaanga, shilatu na matemu nwakumbuka, pia kulikuwa na mwalimu mwanza, sisi tumetumia maabara toka primary, kulikuwa na duka la shule tunakula cheulo na tambi. Wakati huo muziki ni boneyM, Abba group, the jackson 5 (off the wall). Saa nne tunakwenda PE. Kulikuwa na mahali panaitwa cosata palikuwa na duka la bora. Karibu na hapo kulikwa na maghorofa wanaishi wachina, tulikwa tukienda kuanhalia sinema za kivita. Umenukimbusha mbali.
 
Safi sanA!! HIVI MTU KAMA WEWE UTACHUKIAJE UJAMAA?....MWALIMU SOBO NILIKUWA NAMZIMIA SAANA,NA KITENESI UWANJA WA BASKET TTC..,AU KWENDA KIBASILA KUFUATA MIHOGO YA BAB RAJA
 
Mimi nilimaliza 97 enz za Kigwinya(jografia), Tr Mussa(English), Thabiti (hisabati), Mama mkuu wa CTC(Kiswahili). johari, Mahenge na Mkuu Kigora nk. Mihogo kwa babu Raja kwa sasa ni marehem R. I. P babu!
 
Tulikuwa tunakipiga uwanja wa hockey....uwanja wa avanger karibu na kwa mzee ndevu,simba na yanga break time....lemme just stop here,too many memories!!!...uswahilini lakini tumesoma na watoto wa mwinyi,seif sharrif hamad...etc
 
Rafiki zangu walikuwa sele mtambalike (kurasini), issa salum (keko) david misano (majimaji street) catherine ndunguru, jimmy mkate, nk
 
Mimi nilimaliza 97 enz za Kigwinya(jografia), Tr Mussa(English), Thabiti (hisabati), Mama mkuu wa CTC(Kiswahili). johari, Madenge, Magesa, Mahenge na Mkuu Kigora nk. Mihogo kwa babu Raja kwa sasa ni marehem R. I. P babu!
 
Sie tulianza na Mwalimu mkuu Mrs Ndanshau wa Changombe Uhindini, Mama huyo bado yupo ni mfanyabiashara na anamiliki hotel iko sinza inaitwa Lion Hotel pamoja na kiwanda cha rangi na thina Quality paint, Sie tulimaliza na Mwalimu Mkuu Mr John Shilatu ambaye sijui yuko wapi sasa, waliobakia kidogo nakumbuka Mwl Matemu,Matanyanga,Mabula,Seya,Mwanza,Mfuko wa Uwanja wa taifa,Jengo,Rwechungura,Shada,Mganda Mwl Amani, na wengine nshasahaau,
 
Mie nilimaliza "93" enzi za mwl.Jengo,Gola,Omary.Ticha Mussa,Amos,Msaki A,Sobo,Nyanza,etc...Na maandazi ya Domestic sito ya sahau na juice iliyotishia uhai wa wanafunzi.............
 
Mzee ndevu alikuwa anauza maembe na mihogo ya kukaanga, shilatu na matemu nwakumbuka, pia kulikuwa na mwalimu mwanza, sisi tumetumia maabara toka primary, kulikuwa na duka la shule tunakula cheulo na tambi. Wakati huo muziki ni boneyM, Abba group, the jackson 5 (off the wall). Saa nne tunakwenda PE. Kulikuwa na mahali panaitwa cosata palikuwa na duka la bora. Karibu na hapo kulikwa na maghorofa wanaishi wachina, tulikwa tukienda kuanhalia sinema za kivita. Umenukimbusha mbali.

shule zetu inabidi zirudie hadhi ya wakati ule ambapo watoto wa katibu mkuu wizara ya elimu marehemu Sefania Tunginie walisoma hapo!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom