Waliosoma Ifakara Sekondari (Machipi) unakumbuka tukio gani wakati unasoma.

Waliosoma Ifakara Sekondari (Machipi) unakumbuka tukio gani wakati unasoma.

Pastor Silla

Senior Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
162
Reaction score
166
Mimi na kumbuka mwaka 2001 ulitokea mgomo shule FFU/Polisi walikuja watu tukakimbilia poroni tulilala kule Hadi asubuhi.

Mwalimu naemkumbuka Sana;
1.Mwango boy
2.Danda Kosovo

Na yule dereva wa gari lashule shombeshombe.

Karibu na wewe utukumbushe.
 
Back
Top Bottom