Mkisi program umenikumbusha mbali alikuwa anapita class chezea sana kichurachura na kushimva mashimbo ya uchafu
Hahahaa....kwenye ule mstimu mkabala na ukuta wa salvation...nimekula sana flight hapo...yaani palikuwa kama main gate kwa sie watoto wa hostel miaka hiyo.
Kuna huyu afande huwa anajifanya mbabe sana anaitwa Kajimara ukizinguana naye anakutishi kukuwekea bangi sijui bado yupo?
Salaam kwa wote mliowahi kusoma Shule ya Sekondari ya Jitegemee lengo la uzi huu ni kusalimiana na kukumbushana vitu vizuri na vya kipekee vinavyopatikana/vilivyokuwa vinapatikana shuleni Jitegemee
binafsi nakumbuka sana vitu vifuatavyo
1. Mkungu Tree: Huu ni mti unaotumiwa sana kwa ajili ya kufanyia vikao na School baraza
2. Uwanja wa damu:
kuna eneo linaitwa loliondo eneo hili lipo kwenye hostel ya wavulana.maticha ninao wakumbuka ni mbonabucha,ndeha,wajadi others u name it
mkuu wa shule nadhani ni huyu jamaa
Martine Mkisi
hapana martin mkisi hayupo jitegemee kwa sasa... amepanda cheo na kuwa luten kanali na sasa ni mkuu wa kambi ya Ruvu Jkt. Mkuu wa sasa hapo jite bado sijamfaham
mkuu wa shule nadhani ni huyu jamaa
Martine Mkisi
jamaa mtata mbaya, amevuga shule sana.....halafu huyu jamaa si alianzia pale pale olevel akapanda alevel
Duh alikuja kuwa headmaster kumbe
Mbonabucha sijui yuko wapi na yule mama wa skauti alikuwa mnoko kama nini
jamaa mtata mbaya, amevuga shule sana.....
miaka hii mitatu kati ya 2010-2013 shule kama imekufa vile, wale walimu wazoefu wa zaidi ya miaka 10 wote wameondoka, wengine ukikaribia kumaliza kamkataba kako unaambiwa ahsante endelea na maisha mengine.....Enzi za akina Massawe akiwa headmaster na akina Bwenge na Wajadi shule ilikuwa shule kweli na hata ufaulu ulikuwa juu sana baada ya kuondoka Massawe shule ilianza kuporomoka sana na utoz ukawa mwingi mbaya
Viranja wetu akina Mbise walikuwa kama walimu na walikuwa wakitoa adhabu kama walimu na hata huyo Mkisi alikuwa Kiranja pia wakati akiwa Olevel na Alevel pia
Yaani ilikuwa ukishavaaa zile lebel nyekundu wewe ni kama mwalimu mwingine maana akikutana na wewe huna tai au umechomolea shati anakurudisha mpaka Jitegemee hata kama uko posta au kariakoo
Enzi za akina Massawe akiwa headmaster na akina Bwenge na Wajadi shule ilikuwa shule kweli na hata ufaulu ulikuwa juu sana baada ya kuondoka Massawe shule ilianza kuporomoka sana na utoz ukawa mwingi mbaya
Viranja wetu akina Mbise walikuwa kama walimu na walikuwa wakitoa adhabu kama walimu na hata huyo Mkisi alikuwa Kiranja pia wakati akiwa Olevel na Alevel pia
Yaani ilikuwa ukishavaaa zile lebel nyekundu wewe ni kama mwalimu mwingine maana akikutana na wewe huna tai au umechomolea shati anakurudisha mpaka Jitegemee hata kama uko posta au kariakoo