Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,321
- 18,574
Habari zenu wakuu
Leo nimeikumbuka shule yangu niliyosoma Advanced level 2010-11
Nimewakumbuka jamaa zangu, walimu wangu
Mzee Kaaya japo alikua mtata sana(alihama), Mr Chungu, Gerald Mukulu(Bios), Madam Asha(chemistry), baba Ludo( Pure Maths), Engatila(Pure maths),Mwl wilbard (Geo), Madam Bialali aka bambucha (Bios) ila alikua roho mbaya sana huyu etc
Kuna wapishi kama mzee Kinyogori, mzee mwingine naskia lifariki tulimzoea kwa jina father, brother Hamis na wengineo.
Nakumbuka matukio mengi na misukosuko mingi sana katika shule ile.
Kwa waliopitia Minaki katika safari yao ya kutafuta life nawasalimu sana, maisha ya minaki kwa wakati ule ilikua kama maisha plus jamani, maji shida sana nakumbuka maisha ya kufua pond, zamu za kutafuta kuni za kupikia chini ya uongozi wa Kaaya, kufata maji ya kupikia pond dah! Maisha ni safari ndefu