Waliosoma Minaki high school

Makongoro,nikahamia mnyampla!!!!!!faza amevuta!!!!
Mukulu yupo na misifa yake
Mbuzi!!!!!Huyu jamaakpnd naingia minaki,nikajua ndio jina lake!!!siku moja alinituma kwa headboy,nkamwambia headboy,"mwl mbuzi anakuita" headboy akaniambia sio jina lake.akikusikia atakuua
Mtosheko
Mama kinyo n.k
 
Nyerere limebadilishwa jina mwaka juzi (2014).waliofeli walikuwa ndo wanatupwa huko,wapenda nchi wakalalamika eti nyerere anazalilishwa.likaitwa AZIMIO
 
Duuh
 
Them Days... 97-98 A level nilipita pale, Mnyampala lilikua bweni la matozi, Watoto wa mbwa tulikua tunakaa Makongoro na Mirambo! Ijumaa tunakamata DCM tunashuka town kula bata, Enzi hizo mwalimu mkuu Marehemu Mjale(RIP)! Sijui Minaki ya sasa ikoje maana hata matokeo ya kitaifa siku hizi haisikiki kabisa.. i miss them days
 
Same boys high school veterans PCB & sio mbaya hata na ww wa CBG mm pcb 2014/2016 gonga like tum suport mwl.kasio kwa ku onesha ma zeroooi
 
Mimi mkija town mlikuwa mnakuja AZANIA ,nawasalimia watoto wa bush nyie.
 
Advance nikasoma Pugu na huko nikakutana na mtabe wa Chemistry alikuwa anaitwa Kiberiti
 
Ile purukushani ndo iliyofanya J.J KAAYA aondolewe Minaki na kumpa fursa Mr.Chungu kuwa head of the School,na hakika Mr.chungu aliifanya Minaki kuwa ya maziwa na asali,hongera sanaaa kwake brother CHUNGU,he is a good leader kwa kweli.
NAKUMBUKA FFU WALIPOTIA TIMU MINAKI KILA MTU ALITAFUTA PA KUJIFACHA SIKU HIYO,MIONGONI MWA FFU ALIKUWA AMELEWAAAAA!!!!ANAPEPESUKA MWENYEWE,HAHAHAAAAA
 
Nilikuwa Minaki 2009-2011,
Bweni Lumumba nilikuwa Chairperson.
Nilikuwa HGE.Wengi wananikumbuka kwa Kinjemba. Nimewakumbuka sana. Ebu tuorginize event ya kutuleta pamoja.
 
Nilikuwa Minaki 2009-2011,
Bweni Lumumba nilikuwa Chairperson.
Nilikuwa HGE.Wengi wananikumbuka kwa Kinjemba. Nimewakumbuka sana. Ebu tuorginize event ya kutuleta pamoja.
Nilikufundisha wewe ulikuwa na Akna Mwasote
 
Nilipita minaki 2014-2016 daah maisha ya minaki was so nice

HAKUNA kitu nilikuwa napenda Kama ki drop weekend.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…