Waliosoma Minaki high school

Mpishi mzee Kinyogori amedumu sana Minaki.
Nina miss mihogo ya Minaki, sijawahi ona mihogo mitamu vile
 
Nawasaka waliosoma Azania na kumalizia mwaka 2000.
 
Nilianza kusomea minaki baadaye nikahamia LYAMUNGO SECONDARY SCHOOL iliyoko kilimanjaro baada ya kuona maisha ya minaki yanashabihiana na maisha wa somalia. Kama Kuna mtu amesoma LYAMUNGO SECONDARY SCHOOL anijuze tuyajenge.

Duh mmenikumbisha mbali jameni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…