madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 324
- 387
Naomba kuwatambua wanajamii forum waliosoma musoma technical.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo; enzi za Dobeye!
Msisahau na kichapo kutoka kwa wababe wenu Mara Secondary enzi za 90s,Enzi za Akina Nyambari Nyangwine (M B)
hivi mikomangwa bado yupo? bry? kcc? i miss the place?
hayupo
Tupo wengi wa enzi hizo. Pamoja na uliowataja nawakumbuka pia Muganda, Mathias, Begashe, Kituka, Gikondo. Pia kuna wanafunzi kama Ansbert Mgamba, Diocles Rutahindurwa na Simon OdungaHa ha ha tulio soma hapo miaka ya mid 90s wakati wa mkuu wa shule Otieno, na walimu kama Matov, Kanyabuhura, Fundisha, Kisaka,nadhan tupo wachache
kahama au kastaafu
na Mimi kizazi cha muta jelemia 2015 pre university