Waliosoma Musoma technical high school

Waliosoma Musoma technical high school

Ha ha ha tulio soma hapo miaka ya mid 90s wakati wa mkuu wa shule Otieno, na walimu kama Matov, Kanyabuhura, Fundisha, Kisaka,nadhan tupo wachache
 
Kwenda kuvinjari MAKONDEKO,kunya SERENA,free pass kwenye msosi na kukumbana na wapishi akina mzee Sabato na Matogolo,mademu wa Songe sec.walikuwa halali yetu,n.k.Ila moshi wa Mutex ulitutesa!!!
 
Mi nilimaliza hapo 1999. Mikoma G alikua noma. Begashe pia alikua anapiga sana
 
Duh post imenikumbusha maisha yangu Musoma 1995 - 1998 enzi za Head Master anaitwa Saka akina Malalika Mzee wa "We mk....du nini" it was the best experience wakati tukitoroka usiku kufuatilia mademu wa Songe.
 
Msisahau na kichapo kutoka kwa wababe wenu Mara Secondary enzi za 90s,Enzi za Akina Nyambari Nyangwine (M B)
 
Ha ha ha tulio soma hapo miaka ya mid 90s wakati wa mkuu wa shule Otieno, na walimu kama Matov, Kanyabuhura, Fundisha, Kisaka,nadhan tupo wachache
Tupo wengi wa enzi hizo. Pamoja na uliowataja nawakumbuka pia Muganda, Mathias, Begashe, Kituka, Gikondo. Pia kuna wanafunzi kama Ansbert Mgamba, Diocles Rutahindurwa na Simon Odunga
 
Back
Top Bottom