Waliosoma pschology wataajiriwa?

Waliosoma pschology wataajiriwa?

Joined
Jan 15, 2015
Posts
67
Reaction score
8
Habari wanajamvi!

Mimi mwenzenu kuna suala linanisumbua kichwani, naomba kuuliza hivi tuliosomea psychology katika masuala ya elimu naweza kuajiriwa kwa sabab nina somo moja la kufundishia ambalo ni Kiswahili na nmesoma TEKU.

Na mimi jina langu laweza kuwemo TAMISEMI?
 
Unaajiliwa vizuri.
 
Hapo uwezekano ni kama 30% tu, mwaka jana wameachwa wengi sana. All in all, ni kumuomba tu Mungu unaweza ukabahatisha.
 
Kvp kk tunaweza kuachwa

Mkuu, kuacha kuajiriwa kuna u-kivipi tena? Nimesema tu kutokana na experience, nakumbuka mwaka juzi wanafunzi wa UDSM waliokua wanachukua Bed.Pyschology waliandamana maana wenzao ambao waliwatangulia kumaliza hawakuajiriwa, kwa mwaka huu sijajua hali itakuwaje. Ni hayo tu kaka mkubwa.
 
Poa kk nmekuelewa
 
Back
Top Bottom