Waliosoma sana vs wasiosoma

Mkuu mama alikuwa na tabia mbaya, yaani ukilembea neno kama sio type yake basi anauza CD kwa waifu, hili jimama yaani lina kila tabia mbovu, kuna siku nililitania tu , umependezaa! liliangusha msala ikabidi jibaba niombe yaishe tu lol

aisee na kama lilikuwa limenona si maumivu alikupa????
huwa zipo hizo.kila mtu anapewa kasoro wewe tu...lol
 
aisee na kama lilikuwa limenona si maumivu alikupa????
huwa zipo hizo.kila mtu anapewa kasoro wewe tu...lol
aaah mkuu limama liko fulu idara aisee, tatizo ndo hapo tu linatoa lakini kwa naiz. Sasa mbaya ndo hiyo limesoma lakini liko ovyoo sana ndo maana napinga hii sredi.

Halaf mkuu nisalimie shantel aisee ukimuona
 
we likandie tu, ukilichukua unanasa kwake
 
malezi ndyo yanayochangia m2 kuwa na tabia nzuri...!unaweza ukawa na elimu na bado ukawa mshenzi2..
 
Hili ni kweli kabisa, lakini bado njemba wengi wakiona mdada kamaliza madarasa mengi basi huingia mitini kwa dhana potofu kwamba Wanawake waliosoma sana ni jeuri kwa kutowasikiliza waume wao, wana kiburi kwa kuwa wanajua wana uwezo wa kujitunza wenyewe na blah blah nyingine chungu nzima zisizo na ukweli wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…