philosophy
Senior Member
- Nov 11, 2012
- 104
- 42
kwa uhunguzi wangu mdogo wa matokeo haya mapya, umenipa picha fulani baada ya kufuatilia kwa umakini na kugundua kuwa asilimia kubwa ya matokeo yaliyobadirika ni kwa wanafunzi waliosoma masomo ya sayansi. kwa upandie wa masomo ya sanaa matokeo hayakubadilika sana. hii inanipa wasi wasi wakufikiri kuwa yaliyobadilishwa ni matokeo ya sayansi tu na wala sio masomo ya sanaa. hii kweli ni haki? kwanini mambo kama haya yanatokea katika nchi hii na sisi bado tupo kimya? tunakoelekea sio tubadilike watanzania, hasa, viongozi wa serikali hacheni ulaghai. kwa kufanya hivi mnaliangamiza taifa kabisa na kuwaandalia mianya watoto wenu wanaopata elimu bora nje ya nchi hiii....