nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Nov 1, 2023 #1 Karibuni tukutane hapa. Kuna nyimbo tulikuwa tukiimba. Hamisi nyalo tunakuaga toka darajani...jamani eerhh
Karibuni tukutane hapa. Kuna nyimbo tulikuwa tukiimba. Hamisi nyalo tunakuaga toka darajani...jamani eerhh
Joannah JF-Expert Member Joined May 8, 2020 Posts 20,921 Reaction score 49,014 Nov 1, 2023 #2 Umewaza Nini?maana hata mwana Chuga Depal alikuwa hajulikani kama atazaliwa
bukoba boy JF-Expert Member Joined Jan 15, 2015 Posts 5,370 Reaction score 3,962 Nov 1, 2023 #3 Sisi wa 2003 tunacomment wapi?
snochet JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 1,433 Reaction score 1,176 Nov 1, 2023 #4 Wale wa kwenda kuchota maji pale mtoni--na hatukupata kipindupindu
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Nov 17, 2023 Thread starter #5 bukoba boy said: Sisi wa 2003 tunacomment wapi? Click to expand... Ule mto tulikuwa tunalima mboga mboga..maji yalikuwa Safi tuliyanywa...kwa wakati wenu hali ikoje?
bukoba boy said: Sisi wa 2003 tunacomment wapi? Click to expand... Ule mto tulikuwa tunalima mboga mboga..maji yalikuwa Safi tuliyanywa...kwa wakati wenu hali ikoje?
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Nov 17, 2023 Thread starter #6 snochet said: Wale wa kwenda kuchota maji pale mtoni--na hatukupata kipindupindu Click to expand... Kulikuwa na mti mkubwa....watu waliogopa kuwahi shule....mnasubiriana....tuliamini palikuwa na shetani.
snochet said: Wale wa kwenda kuchota maji pale mtoni--na hatukupata kipindupindu Click to expand... Kulikuwa na mti mkubwa....watu waliogopa kuwahi shule....mnasubiriana....tuliamini palikuwa na shetani.