Waliosoma UDSM kipindi cha nyuma teknolojia ya internet bado inakuwa walikuwa wabishi wakisema taarifa unazopata ni za uongo

Waliosoma UDSM kipindi cha nyuma teknolojia ya internet bado inakuwa walikuwa wabishi wakisema taarifa unazopata ni za uongo

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mi bado na kazia tu wasomi waende VETA.
Miaka ya nyuma ilikuwa kazi sana na wasomi UDSM ambao waliamini maarifa na taarifa zipo sehemu moja ambayo ni chuoni na vitabu vilivyomo hapo tu.

Hata hapa JF ukitafuta mijadala mingi kipindi JF inaanza utaona wakisema taarifa za internet ni uwongo.
 
Back
Top Bottom