Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

Kiukweli kufundisha ni kipaji vile vile wapo walimu wamesomea lakini ovyoo vile vile kwani engineering inafundishwa na watu wa education? Unaponiambia engineer haiwezekani kufundisha advance math, physics au chemistry mim i nakukatalia basi wa education jaribu kuingia kazi za wengine ukaoneeee
Vipo vigezo vingi vinavyochangia shule za private kutoa matokeo mazuri.Mojawapo ni idadi ndogo ya wanaf,uwepo wa maabara,usimamizi kwani ni biashara.etc.Uwepo wa intruders kutoka fani nyingine sidhani kama ni kigezo sana!
 

mkuu ni kweli nakubaliana na wewe hii protest ni kwa ajili ya kuzuia kuzibiwa nafasi.hata udaktari ni kipaji. Once u join any carrier you must put vocational first.
 
Yaaan wewe bana ulivyoandika hivi nakubaliana na wewe mia kwa mia binafsi kufundisha naweza haswa math na physics bila tabu ila jamaa anasema hawapati elimu bora kwakua hatukupitia ualimu sisi ndo kakosea bana wakat nipo azania mwalimu wa shule aanzishe tution nani aende watu haooo mchikichini kwa wale wasiosomea ualimu
mkuu ni kweli nakubaliana na wewe hii protest ni kwa ajili ya kuzuia kuzibiwa nafasi.hata udaktari ni kipaji. Once u join any carrier you must put vocational first.
 
K tanzania ya sasa kuna wimbi kubwa sana la kudharau fani ya ualimu kuliko zamani .hii inatokana na uhuru wa vyombo vya habari, umaskini unaopelekea huduma duni kwa ealimu.na tafiti nyingi kutoka ngo's zinazohusu uduni au ubora wa elimu zikimtafuta mchawi wa tatizo.matangazo kwenye tv yanayoanika uhalisia yametudhalilisha kwa kufanya watu wawe na liroho ndani yake la kuchukia ualimu.tuna soo na watu wanaodharau ualimu bila sababu za msingi eti walifeli haya mliruhusuje wafundishe? (kama soko linawakubali carry on.tukisikia madharau tutawakimbiza na kumbuka tuko wengi in number.na tunapiga vita dharau ambazo tunahisi on the way zitajenga makundi ktk jamii.
 
Hahahahhahahha peleka div.3 huko

Mkuu we ni mpuuzi kweli! division one ina nafasi yake,div.two ina nafasi yake na hata hiyo three unayoidharau kwa kicheko.Hakuna kisicho na maana hapa duniani.Ukikosa huduma ya msukuma mkokoteni siku yako itaharibika.WAKIPATIKANA WATU 100 wenye akili zenye urefu sawa na haja ndogo zao zinapoishia wakikojoa kama hiyo yako,halafu wakawa na fursa ya kutoa maamuzi kuhusu mambo ya elimu wataua kabisa elimu kwa kutojali maslahi ya wadau hasa walimu wakidai walifeli.Na vilaza wa namna hiyo tunao wengi sana ndio maana elimu inashuka siku hadi siku wakati huo Kenya na Uganda wakiongoza kielimu katika jumuia ya Afrika mashariki.Naona umekurupuka tu na kuandika.KAOGEEE!
 
Na shule binafsi zinafanya vizuri kuliko shule zenu hizo za kata...patamu hapo...
 

Walimu wasilalamike sana , ni zao la failure that's ualimu kila mtu anaweza kupractice lakini si mwalimu kuwa mhasibu au daktari
 
Walimu wasilalamike sana , ni zao la failure that's ualimu kila mtu anaweza kupractice lakini si mwalimu kuwa mhasibu au daktari

Hakuna anayelalamika hapa.Tunaonyesha ukweli tu kwa wasioelewa.Kwani imetupunguzia nini? Aliyeikomboa nchi hii wa kwanza alikuwa mwalimu.Hata wewe unayekejeli umetoka kwa walimu.
 
Hakuna anayelalamika hapa.Tunaonyesha ukweli tu kwa wasioelewa.Kwani imetupunguzia nini? Aliyeikomboa nchi hii wa kwanza alikuwa mwalimu.Hata wewe unayekejeli umetoka kwa walimu.

Uko sahihi kabisa na japo sijasomea ualimu lakini naweza kufundisha vizuri sana
 
uko sahihi kabisa na japo sijasomea ualimu lakini naweza kufundisha vizuri sana

si kweli ! Unaweza lakini sio rasmi!mimi ndiye rasmi! Nadhani tusingesikia habari ya upungufu wa walimu.wangezolewa tu mtaani na kuswagwa kuelekea shuleni.kufundisha!!!!!!!
 
kweli mkuu, ualimu ni kimbilio kwa watu wenye uoga wa maisha.

Mbona sikuelewi?Uoga wa maisha vipi?Nilimaliza form four 1988 na div. Shuleni tulikuwa tunafundishwa geography na Mrusi mmoja Kwa jina AMBOROSNOVA .Kwa hiyo kutoka urusi hadi huku aliogopa maisha?Labda ufafanue hoja haina mashiko!
 
Engineer anaweza kufanya kazi zote isipokuwa za Doctor (wa kutibu) tu.
Na Doctor (wa kutibu) anaweza kufanya kazi zote isipokuwa za Engineer tu.
Hao wakifundisha mie shwari tu.
 
Mbona sikuelewi?Uoga wa maisha vipi?Nilimaliza form four 1988 na div. Shuleni tulikuwa tunafundishwa geography na Mrusi mmoja Kwa jina AMBOROSNOVA .Kwa hiyo kutoka urusi hadi huku aliogopa maisha?Labda ufafanue hoja haina mashiko!

Wacha kuleta habari za wageni! hapa tunazungumzia walimu wa Tanzania tena sio wale wa kipindi cha mkoloni. mkuu, hivi unajuwa vijana wengi wa siku hizi wanakimbilia ualimu kwa kuchelea kukosa ajira/kuzunguuka na bahasha pindi watakapo maliza masomo yao! kwa sababu walimu huwa wanajiriwa na serikali moja kwa moja mara tu ya kumaliza masomo yao. bado naweza kusema ni uwoga w maisha unawasumbuwa. yani mtu unaacha kusoma kitu ambacho ulikuwa na ndoto nacho tokea utotoni kwa kuhofia kukosa ajira!!!
 
dah huu mjadala mtamu sana. kiukweli ualimu ni kazi mzuri, binafsi nilipenda kuwa mwalimu na naamini ningekuwa mwalimu bora kama ningesomea ualimu. tatizo kubwa ni kwamba mishahara na maslahi ni duni sana ukilinganisha na kada nyingine kama afya na kilimo. kama serikali ikiboresha maslahi ya walimu angalau graduate akapata take home of just 700,000/- watu wengi wenye ufaulu mkubwa wataenda. period
 

huu ni ukweli 100%. vijana wengi wanakimbilia huko ili kujihakikishia ajira ya moja kwa moja. madhara yake ni kwamba fani imeingiliwa na watu wasio na moyo wa kufanya kazi, na pengine wasio jiweza kabisa kichwani. sasa kuna utitiri wa mushrooming universities ambazo zinafundisha education. sina imani na ubora wa hicho kinachofundishwa huko vyuoni
 

hayo maneno!
 
na ndio maana kadri siku zinavyozidi kwenda ndio ubora wa elimu ya Tanzania inavyozidi kushuka. Mtu aliyekimbilia aulimu kwa kuchelea kukosa ajira hawezi kufundisha kwa moyo mmoja. Akili yake yote inabakia kwenye kutaka kujuwa mshahara utaingia lini. na ndio walimu tuliokuwa nao sasa hivi, hawana wito kabisa, kazi kushinda mitandaoni kutafuta huruma za watu kwa hali yeyote ili waonekane ni bora saaana kumbe hawana lolote wanalofanya!!!
 
Engineer anaweza kufanya kazi zote isipokuwa za Doctor (wa kutibu) tu.
Na Doctor (wa kutibu) anaweza kufanya kazi zote isipokuwa za Engineer tu.
Hao wakifundisha mie shwari tu.

Toa pumba hizo! Engineer anaweza kuwa rubani? Umesababisha mie mwalimu nikucheke sana ! eh yote hii ni kutudharau tu! Mnajichimbia shimo nyie au watoto wenu bila kujua.Narudia Mimi nina miaka 23 kwenye ualimu na sijutii nawachora tu vilaza wa zama za digitali.Hembu usirudi tena hapa jukwaani kwa thread hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…