kbmk
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 776
- 158
Kiukweli kufundisha ni kipaji vile vile wapo walimu wamesomea lakini ovyoo vile vile kwani engineering inafundishwa na watu wa education? Unaponiambia engineer haiwezekani kufundisha advance math, physics au chemistry mim i nakukatalia basi wa education jaribu kuingia kazi za wengine ukaoneeee
Vipo vigezo vingi vinavyochangia shule za private kutoa matokeo mazuri.Mojawapo ni idadi ndogo ya wanaf,uwepo wa maabara,usimamizi kwani ni biashara.etc.Uwepo wa intruders kutoka fani nyingine sidhani kama ni kigezo sana!