Ighombe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 1,181
- 675
huu ni ukweli 100%. Vijana wengi wanakimbilia huko ili kujihakikishia ajira ya moja kwa moja. Madhara yake ni kwamba fani imeingiliwa na watu wasio na moyo wa kufanya kazi, na pengine wasio jiweza kabisa kichwani. Sasa kuna utitiri wa mushrooming universities ambazo zinafundisha education. Sina imani na ubora wa hicho kinachofundishwa huko vyuoni
mkuu umenena.kinachotaki
wa ni serikali kupiga vita hizo mushroom za utitiri wa vyuo vikuu na sio kudharau ualimu. Ofcourse wanacheza na psychology ya soko la ajira lilipo.toka lini mhindi akaendesha chuo? Yeye kazi yake kuuza duka la jumla.serikali yetu nayo imelala maana inakaribisha investors kwenye masuala ya elimu hii si vyema kabisa.