matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ukikutana na hawa mabingwa mara nyingi wanavaa kitajiri, wameshika simu za kuanzia Milioni, gari angalau la kuthibitisha ukwasi wao.
Hupenda kukutana mahoteli ya kifahari.
Nimependa kujua uhalisia wa Maisha haya au huu huwa ni urimbo wakutupigia.
Hupenda kukutana mahoteli ya kifahari.
Nimependa kujua uhalisia wa Maisha haya au huu huwa ni urimbo wakutupigia.