Waliotajirika kupitia Q-Net njooni mtoe ushuhuda

Waliotajirika kupitia Q-Net njooni mtoe ushuhuda

Acha hizo mkuu
Nimewahi kwnda ubungo Plaza
Mlimani city
Makumbusho millenium tower
Makumbusho Plaza moja kabla ya Victoria nimrpasahau Jina
hidery Plaza town

sijawahi kuona ndio maana nakushangaa unashindwa kutoa ushuhuda hapa anonymously utawezaje face to face.
Sheria za kazi haziruhusu mkuu
 
Mie nilikutana na "meneja" wa NMB aliyekuwa analipwa 5m kaacha kazi kuja Qnet. Bahati mbaya sana hafananii kabisa na kipato alichosema. Unajua, mtu mwenye pesa presentation yake inajulikana tu. [emoji1787] [emoji1787]
Isije kuwa yule mdada yupo pale Mwananyamala alikuwa Nmb Mbeya?
Anasema aliacha kazi ili ajikite Qnet wakati sio kweli, alifukuzwa.
 
Mimi ndo huwezi kunidanganya Sijui Qnet mara Desi mara Sijui Panda na kuvuna,mimi hawatanipata ng'ooo.
 
Write your reply...haw ni matapeli ndg yangu na mumewe wliingia then wakaanza kunishawishi daily wananifata asubui jioni nikaona kero nikatoa laki na nusu kuwaonesha naanza kulipia sikupatkana tena! matokeo yake mpaka ndoa yao imevurugika kisa qnet.
 
Isije kuwa yule mdada yupo pale Mwananyamala alikuwa Nmb Mbeya?
Anasema aliacha kazi ili ajikite Qnet wakati sio kweli, alifukuzwa.
Dah , ina maana hawa wote walikuwaga mabosi kwenye mabenki ya nchini ??? Alokuwa ananiwinda alikuwa Banker pia - KCB na benki nyingine International , akaona QNET kaaacha kazi .
 
Kuna mtu hapa suma jkt anatutambia ameacha kazi ya 2.5m kajiunga na q-net maisha yake yako poa saiv kwa mujib Wa maelezo yake lkn uhalisia mh goja nitawapa update Niko nao hapa
 
Back
Top Bottom