matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Kwa nini mnakuwa waongowaongo sana na hamko tayari kujibu maswali magumu.Tuonane Makumbusho kesho. Gharama za kukuleta hapa ni juu yangu. Uje uone tunavyofaidi maisha
Mkuu weka ushahidi kuitana huko ndio chanzo cha kutiliwa mashakaTuonane Makumbusho kesho. Gharama za kukuleta hapa ni juu yangu. Uje uone tunavyofaidi maisha
big up Kwa mwaka una Bill ion Karibu 7.Ninalipwa mil550 kwa mwezi sasa.
Mtandao umekua ahahahahah
ushahidi utauona huko huko mkuuMkuu weka ushahidi kuitana huko ndio chanzo cha kutiliwa mashaka
Swali lipi mkuuKwa nini mnakuwa waongowaongo sana na hamko tayari kujibu maswali magumu.
Acha hizo mkuuushahidi utauona huko huko mkuu
ushuhuda Kwanza kamandaSwali lipi mkuu
Uliza now
Hahahaaa, niliacha kazi bandarini, nilikuwa nalipwa kwa mwezi milioni 11, nyumba bure, gari bureee, matibabu buree.. ....GOOD MORNING [emoji1787][emoji1787]Ninalipwa mil550 kwa mwezi sasa.
Mtandao umekua ahahahahah
HahahaHahahaaa, niliacha kazi bandarini, nilikuwa nalipwa kwa mwezi milioni 11, nyumba bure, gari bureee, matibabu buree.. ....GOOD MORNING [emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa ya mtonyo hawawezi kutumia nguvu kubwa kukuita wakati ile haihitaji skills yeyote anaweza akaifanyaKwa nini mnakuwa waongowaongo sana na hamko tayari kujibu maswali magumu.
Mimi naitwa Lameck McReaganHahahaa Wewe ndo yule mr john son uliyekua ukitoa ushuhuda hapo juzi pale makumbusho
Unamiliki milion 100+ halafu unatumia jamaa kuogea?
It's Scars