DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Sheria za kazi haziruhusu mkuuAcha hizo mkuu
Nimewahi kwnda ubungo Plaza
Mlimani city
Makumbusho millenium tower
Makumbusho Plaza moja kabla ya Victoria nimrpasahau Jina
hidery Plaza town
sijawahi kuona ndio maana nakushangaa unashindwa kutoa ushuhuda hapa anonymously utawezaje face to face.
Mungu anakuona
Nilikuwa meneja TANESCO Dodoma nikaacha kazi.....big up Kwa mwaka una Bill ion Karibu 7.
Hahaha wewe si budget ya wizara kabisa hahaha
Mie nilikutana na "meneja" wa NMB aliyekuwa analipwa 5m kaacha kazi kuja Qnet. Bahati mbaya sana hafananii kabisa na kipato alichosema. Unajua, mtu mwenye pesa presentation yake inajulikana tu. 🤣 🤣Nilikuwa meneja TANESCO Dodoma nikaacha kazi.....
Isije kuwa yule mdada yupo pale Mwananyamala alikuwa Nmb Mbeya?Mie nilikutana na "meneja" wa NMB aliyekuwa analipwa 5m kaacha kazi kuja Qnet. Bahati mbaya sana hafananii kabisa na kipato alichosema. Unajua, mtu mwenye pesa presentation yake inajulikana tu. [emoji1787] [emoji1787]
Dah , ina maana hawa wote walikuwaga mabosi kwenye mabenki ya nchini ??? Alokuwa ananiwinda alikuwa Banker pia - KCB na benki nyingine International , akaona QNET kaaacha kazi .Isije kuwa yule mdada yupo pale Mwananyamala alikuwa Nmb Mbeya?
Anasema aliacha kazi ili ajikite Qnet wakati sio kweli, alifukuzwa.
Na hawaja kulenga wew. Wale hawatakag watu smart.wanawafata watu maboya ambao wanajua wanaweza kuwashawishMimi ndo huwezi kunidanganya Sijui Qnet mara Desi mara Sijui Panda na kuvuna,mimi hawatanipata ng'ooo.
Kweli mkuu ,wapenda slope ndio huwa wanakamatika kirahisi.Na hawaja kulenga wew. Wale hawatakag watu smart.wanawafata watu maboya ambao wanajua wanaweza kuwashawish