Waliotajirika na pesa za talaka na kuvunjika kwa ndoa

IZ

SHERIA IZO ZINGEKUWA BONGO WATU WENGI WANGEFIRISIKA
Hata bongo sheria ipo hivyo hivyo sema sheria zetu sio kali halafu jamii kubwa ya watu ni masikini. Unakuta wanandoa wanaishi kwenye nyumba ya kupanga sasa hapo hata wakitalakiana unafikiri kutakua na mali gani za kugawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…