Waliotaka kumteka Deogratius Tarimo wameshakamatwa?

Waliotaka kumteka Deogratius Tarimo wameshakamatwa?

Ni nani ata wakamata
Itashamgaza kama bado wakati sura zao zimeshafahamika!
1. Wameshakamatwa?
2. Wako wapi?
3. Watakamatwa!
4. Polisi wanahitaji usaidizi wo wote wa wana JF?
Ni nani ata wakamata wakati ni watu wa mfumo huo huo wa ukamataji? Hizi ni drama tuu.
Kwani umesha pata taarifa za nani alimuua Mzee Kibao?
 
Ccm hata ikipita ila sio kwa kura yangu
Hata wanaccm wenyewe asilimia kubwa hawaikubali ccm wala utawala uliyopo ila kwa nje wanaigiza kwa maslahi ya matumbo yao
Ukitaka kujua hilo angalia uvumi ulioibuka humu jukwaani siku chache zilizopita halafu angalia comments za wanaccm tena wengine avatars zao wameweka picha zake kabisa lakini ni kama walikuwa na furaha kiaina.
Hapo ndo ujue ingekuwa nchi yetu kuna uchaguzi huru na wa haki kuna watu wangeaibika sana!
 
Wenye kuhoji hoji juu ya hili wana nafasi kubwa zaidi ya kukamatwa na kufunguliwa kesi, kuliko wahusika.
Maisha ni mwangwi! unachofanya kinakurudia!!

1 Wafalme 2:33 "Adhabu ya mauaji hayo itakuwa juu ya wauaji na wazawa wake milele".
 
Either nchi haina Kiongozi au aliyekuwepo ndiye aliyeruhusu huo utekaji maana ameona tukio na viongozi wa polisi aliowateua wako kimya.
 
Back
Top Bottom