Waliotaka kumteka Deogratius Tarimo wameshakamatwa?

Waliotaka kumteka Deogratius Tarimo wameshakamatwa?

Wale ni waporaji unaweza waita majambazi raia walitakiwa wamalizane pale pale
Sasa hyo deo siyo mwanaharakati
Sasa ni chanzo cha wao kwenda kumkamata vile,au walitaka kwenda kumtemesha hela
Hii serikali kuna ujinga fulani wanaulea

Ova
 
Mbaya sana aisee ndio maana naikubali sana SA wale jamaa mpaka dakika hii wapo kwenye Friji hata wawe na vyeo gan sio kwa Wazulu..
 
Back
Top Bottom