Hawajawaphila kweli?mbona nimeona mmoja anatembea upande upande?WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.
Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.
Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)
Hao ni magaidi wasipewe dhamana kabisa.WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.
Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.
Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)
View attachment 3553600View attachment 3553599
Wakiminywa watawasema accomplice!WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.
Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.
Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)
View attachment 3553600View attachment 3553599
Faki them all. Wawaite principals wao (mazafakas Mombo na Mafwele) wawatetee!WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahakamani nchini Kenya.
Wamesomewa mashitaka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU.
Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania)
View attachment 3553600View attachment 3553599
Hiyo Range ya mabua au udongo? USD 200?Ila mahakama za Africa 🙌😄 hapo kama Kibanda umiza
Unakuta kiongozi anapush Range ya USD 200
200k I meanHiyo Range ya mabua au udongo? USD 200?
Hao mafala wote wawili Mimi hawanipeleki popote....na lazima mmoja nimuue! Sijisifu nashukuru Mungu nipo fit sana, na walivyo hata mtu mtata mkakamavu hawawezi kumchukua,ndiomaana huyo msabaha walimshindwa wathenge hao.Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo asubuhi wakikabiliwa na shtaka la kumteka nyara Mtanzania Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha makubwa ya mwili katika Kaunti ya Machakos.
Watuhumiwa hao watatu wamekana mashtaka yote dhidi yao. Wanaendelea kushikiliwa mahabusu. Maombi ya dhamana pamoja na kutajwa kwa kesi hiyo yamepangwa kufanyika tarehe 9 Machi.
--
Pia soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza
Taarifa kutoka Amnesty Kenya
Kenyan driver Nelson Wanjohi Kirika, Kenyan resident in South Africa Edward Mwangi Mwai, and Aziz Hama, a Tanzanian national (left to right) were formally charged this morning with abducting Tanzanian Mshabaha Mshabaha Hamza and subjecting him to grievous bodily harm in Machakos County. The three pleaded not guilty. They remain in custody. Bail application and case will be mentioned on 9 March. Kenya must never be a corridor for transnational repression.
View attachment 3553600View attachment 3553599
Mtanzania -Mzanzibari? 👇👇
Aziz Hama ni Mpemba wa Zanzibar lakin makazi yake ni Moshi mjini- Kilimanjaro
Hapo awali Aziz Hama alikuwa ofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania
@tanpol lakin alifutwa kazi kwasababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo kujihusisha na matukio ya UJAMBAZI.
View attachment 3553646
ExactlyHao ni magaidi wasipewe dhamana kabisa.