Waliotaka kumteka Mshabaha Kenya wafikishwa Mahakamani wanyimwa dhamana

Waliotaka kumteka Mshabaha Kenya wafikishwa Mahakamani wanyimwa dhamana

Dereva wa Kenya Nelson Wanjohi Kirika, mkazi wa Kenya nchini Afrika Kusini Edward Mwangi Mwai, na Aziz Hama, raia wa Tanzania (kutoka kushoto kwenda kulia) wamefikishwa rasmi mahakamani leo asubuhi wakikabiliwa na shtaka la kumteka nyara Mtanzania Mshabaha Mshabaha Hamza na kumsababishia majeraha makubwa ya mwili katika Kaunti ya Machakos.

Watuhumiwa hao watatu wamekana mashtaka yote dhidi yao. Wanaendelea kushikiliwa mahabusu. Maombi ya dhamana pamoja na kutajwa kwa kesi hiyo yamepangwa kufanyika tarehe 9 Machi.

--
Pia soma > Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

Taarifa kutoka Amnesty Kenya

Kenyan driver Nelson Wanjohi Kirika, Kenyan resident in South Africa Edward Mwangi Mwai, and Aziz Hama, a Tanzanian national (left to right) were formally charged this morning with abducting Tanzanian Mshabaha Mshabaha Hamza and subjecting him to grievous bodily harm in Machakos County. The three pleaded not guilty. They remain in custody. Bail application and case will be mentioned on 9 March. Kenya must never be a corridor for transnational repression.

View attachment 3553600View attachment 3553599

Mtanzania -Mzanzibari? 👇👇
Aziz Hama ni Mpemba wa Zanzibar lakin makazi yake ni Moshi mjini- Kilimanjaro

Hapo awali Aziz Hama alikuwa ofisa wa Jeshi la Polisi Tanzania
@tanpol lakin alifutwa kazi kwasababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo kujihusisha na matukio ya UJAMBAZI.
View attachment 3553646
Hao mafala wote wawili Mimi hawanipeleki popote....na lazima mmoja nimuue! Sijisifu nashukuru Mungu nipo fit sana, na nnavyo waona hata kimbaumbau GENTAMYCINE hawawezi kumchukua
 
Mafwele aende akamwokoe mtendaji wake. Huyo yupo kikosi cha Mafwele, na Mafweli anaripoti moja kwamoja kwa muaji mkuu.
 
Hao majambazi halafu mbona choka mbaya kabisa kama huyo mwarabu.

Wanatumika kama toilet paper matokeo yake ndio hayo.
 
Hao mafala wote wawili Mimi hawanipeleki popote....na lazima mmoja nimuue! Sijisifu nashukuru Mungu nipo fit sana, na nnavyo waona hata kimbaumbau GENTAMYCINE hawawezi kumchukua
Tokea Mama yako Mzazi anisifie kwa Kazi yangu nzuri ya Kibaiolojia kwake iliyomshinda Baba yako Mzazi naona sasa Wewe Mtoto Mtu umeamua kuonyesha Upendo wako Kwangu na ni matumaini yangu makubwa hata nawe pia ipo Siku tu utanipanulia yote ili niikandamize kunakotukuka.
 
Msemaji wa serikali yupo kimya.. kurukia mada za umbea umbea. Vitu vya muhimu kama hivi hatolei maelezo 🚮
 
Tokea Mama yako Mzazi anisifie kwa Kazi yangu nzuri ya Kibaiolojia kwake iliyomshinda Baba yako Mzazi naona sasa Wewe Mtoto Mtu umeamua kuonyesha Upendo wako Kwangu na ni matumaini yangu makubwa hata nawe pia ipo Siku tu utanipanulia yote ili niikandamize kunakotukuka.
Mimi baba yako boya wewe!!
 
Yan huyo Aziz hata usipoambiwa kuwa ni mzenji unaangalia kidogo tu.
 
Back
Top Bottom