Pre GE2025 Waliotelekezwa na UVCCM Uwanja wa Mkapa baada ya Tamasha wasaidiwa Nauli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hustler
 
CCM kuwasomba watoto wa watu bila idhini ya wazazi ni ubakaji kama ubakaji wowote. Hawa watoto ambao ni wanafunzi si mali ya CCM au mama Samia hivyo kuwschukua toka shuleni bila idhini ya ya wazazi ni ubakaji na wahusika ni lazima wawajibishwe.
 
Niliwahi kumnyima MJOMBA wangu nauli ya kurudia kijijini baada ya kuja na kulekezwa mjini alikokuwa ameahidiwa kupewa baiskeli kutoka CCM kama katibu wao mwenezi kata huko kijijini.

HUWA SITAKI UPUUZI MIMI.
 
Mjomba ni Mama
Ndio ijapo habebi mimba lkn nilimnyima na nilifurahi alipotelekezwa bila kupewa baiskeli wala nauli. Walikuwa wananiudhi sana walipokuwa wakagawa chumvi ya 150/- ili washinde uchaguzi tena wakigawa usiku wa kuamkia uchaguzi.

Nilikuwaga mdogo lkn vitendo vya namna hii nilikuwaga nikivichukia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…