N headache! Watatema hao wanaonza mwaka wa kwanza. Kwan? Ufaulu c ulipungua! Kwa nn wote wasipate mkopo.
Wateme wa kutoka diploma...at least wao wamezoea maisha ya kulipia pesa ndefu....watatuua sisi wattoto wa shule za kata
hebu jifunze kuwaombea/kuwanenea/kuwatabiria vijana wenzio mazuri...sasa hao wadiploma wakikosa itakufaidia nin wewe?
Wateme wa kutoka diploma...at least wao wamezoea maisha ya kulipia pesa ndefu....watatuua sisi wattoto wa shule za kata
hebu jifunze kuwaombea/kuwanenea/kuwatabiria vijana wenzio mazuri...sasa hao wadiploma wakikosa itakufaidia nin wewe?
huo uzushiiii duuu mareaia niaje kupeana poresha afu wanasema idadi kubwaaa duuuu sio poa bhana.
Bosi wa TCU karibu jamvini.
Akili za Shule za kata utazijua tu,hongera lakini naona kuchamba kwingi mkuu.
Mbwiga88 umerudi???...hahahaa kama umenuna kanibanie tcu basiiii.....hivi sasa wewe na mkeo kwa mfano mmechomwa visu halafu wewe usianze kuchomoa kilichokuwa tumboni kwako uende kuchomoa tumboni kwa mwenzio??..hapo ukifa tu motoni...vyovyote iwavyo ikibidi mimi na wewe lazima mmoja afe mm sitojiua bali ntakuua wewe iki niishi....kama bado hujanielewa nachokisema hapa ni kuwa kila mwamba ngoma huvutia kwake ebo!!!!!!!.....rejea kiswahili darasa la 3 kwenye nafsi...yani inaanza mimi inafuata wewe halafu ndo yule.....una lingine???
Priority wanapewa wafuatao
1;walemavu
2;kozi uliyoomba;education na science
3;Uwezo wa wazazi wako hapa wanaangalia vyeti vya kuzaliwa,
4;Mwaka uliomaliza form six,
5;Historia ya shule ulizosoma hapa waliosoma private inakula kwao.
6;yatima
7;ufaulu.
Kwenye cheti kuna sehemu unaandika kazi za wazazi huwa wanaziangalia sana.
Jamani jana nimeckia eti kuna majina ya wanafunzi waliotemwa na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hivi ni kweli?