Waliotemwa na loan board

Waliotemwa na loan board

N headache! Watatema hao wanaonza mwaka wa kwanza. Kwan? Ufaulu c ulipungua! Kwa nn wote wasipate mkopo.

Wateme wa kutoka diploma...at least wao wamezoea maisha ya kulipia pesa ndefu....watatuua sisi wattoto wa shule za kata
 
Wateme wa kutoka diploma...at least wao wamezoea maisha ya kulipia pesa ndefu....watatuua sisi wattoto wa shule za kata

hebu jifunze kuwaombea/kuwanenea/kuwatabiria vijana wenzio mazuri...sasa hao wadiploma wakikosa itakufaidia nin wewe?
 
hebu jifunze kuwaombea/kuwanenea/kuwatabiria vijana wenzio mazuri...sasa hao wadiploma wakikosa itakufaidia nin wewe?

Mbwiga88 umerudi???...hahahaa kama umenuna kanibanie tcu basiiii.....hivi sasa wewe na mkeo kwa mfano mmechomwa visu halafu wewe usianze kuchomoa kilichokuwa tumboni kwako uende kuchomoa tumboni kwa mwenzio??..hapo ukifa tu motoni...vyovyote iwavyo ikibidi mimi na wewe lazima mmoja afe mm sitojiua bali ntakuua wewe iki niishi....kama bado hujanielewa nachokisema hapa ni kuwa kila mwamba ngoma huvutia kwake ebo!!!!!!!.....rejea kiswahili darasa la 3 kwenye nafsi...yani inaanza mimi inafuata wewe halafu ndo yule.....una lingine???
 
Wateme wa kutoka diploma...at least wao wamezoea maisha ya kulipia pesa ndefu....watatuua sisi wattoto wa shule za kata

Akili za Shule za kata utazijua tu,hongera lakini naona kuchamba kwingi mkuu.
 
huo uzushiiii duuu mareaia niaje kupeana poresha afu wanasema idadi kubwaaa duuuu sio poa bhana.

Bila shaka wewe ni kinara usokitabu,jifunze kuandika kulingana na Mahala husika,huku atupost tu ili uonekane BOY.
Six leavers wa Mwaka huu mmekuja kwa kasi jf. Karibu mdau.
 
Akili za Shule za kata utazijua tu,hongera lakini naona kuchamba kwingi mkuu.

Waingereza utawajua kwa tabia zao,wachina hivyo hivyo hata makabila hivyo hivyoo....sikatai asili yangu,najivunia shule za kata who knows labda bila hizo saa hii ningekua mteja wa cocaine na mkabaji mitaa ya kati....nimetumia nguvu nyingi hadi kuwa hapa, kupiga misuli binafsi bila kuwa na walimu,ukosefu wa vitabu hakuna maabara lakini nimepita kwenye mazingira yote hayo itakua dhambi wakija kunimwaga kwa staili hii afu wapewe wa st marrys na marian girls huko.....JFz home of great thinkers....kuna mantiki kwenye ile cimment yangu ila we umepita juu juu mkuu....
#think criticaly
 
Mbwiga88 umerudi???...hahahaa kama umenuna kanibanie tcu basiiii.....hivi sasa wewe na mkeo kwa mfano mmechomwa visu halafu wewe usianze kuchomoa kilichokuwa tumboni kwako uende kuchomoa tumboni kwa mwenzio??..hapo ukifa tu motoni...vyovyote iwavyo ikibidi mimi na wewe lazima mmoja afe mm sitojiua bali ntakuua wewe iki niishi....kama bado hujanielewa nachokisema hapa ni kuwa kila mwamba ngoma huvutia kwake ebo!!!!!!!.....rejea kiswahili darasa la 3 kwenye nafsi...yani inaanza mimi inafuata wewe halafu ndo yule.....una lingine???

I see...huyo jamaa ni noma... Nimemuona kwenye post ya mtu anasema a pm amsaidie swala la tcu...
 
Priority wanapewa wafuatao
1;walemavu
2;kozi uliyoomba;education na science
3;Uwezo wa wazazi wako hapa wanaangalia vyeti vya kuzaliwa,
4;Mwaka uliomaliza form six,
5;Historia ya shule ulizosoma hapa waliosoma private inakula kwao.
6;yatima
7;ufaulu.
 
Hapa watakaoumia ni watu wa diploma maana sidhani kama unaweza kumnyima mtu aliyesoma shule za kata ukampa wa diploma ambaye ameisha zoea mikiki mikiki ya kujilipia ada ila waliomaliza mwaka huu wana priority kubwa ya kupata kuliko waombaji wengine.
 
Priority wanapewa wafuatao
1;walemavu
2;kozi uliyoomba;education na science
3;Uwezo wa wazazi wako hapa wanaangalia vyeti vya kuzaliwa,
4;Mwaka uliomaliza form six,
5;Historia ya shule ulizosoma hapa waliosoma private inakula kwao.
6;yatima
7;ufaulu.

sina tatzo na vigezo vyako, ila naona kgezo cha yatima umekiweka mbal! Alafu cjaeilew hapo kipengele cha uwezo wa wazaz vyeti vya kuzaliwa vya wazaz vya nn? Nieleweshe mkuu
 
Kwenye cheti kuna sehemu unaandika kazi za wazazi huwa wanaziangalia sana.
 
diploma na waliosoma shule za wa2 binafsi na walio omba kozi mbal na elimu na sayansi
 
Jamani jana nimeckia eti kuna majina ya wanafunzi waliotemwa na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu hivi ni kweli?

Kikubwa kinachoaangaliwa n shule ya Second uliyosoma,kama n private sahau!
 
Back
Top Bottom