Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

Mwanjelwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2007
Posts
956
Reaction score
146
Nadhani wengine bado hatujasikia...mfano morogoro mjini na maeneo mengine kama Zenj kule

Orodha ya wabunge waliochemsha CCM


Tuesday, 03 August 2010 22:12

MAWAZIRI zaidi, vigogo wa CCM na watu wengine maarufu waliojitosa kuwania tiketi ya chama hicho tawala kuwania ubunge na udiwani, wamezidi kuanguka wakati upigaji kura za maoni ukieleka ukingoni.

1. John Malecela (Mtera)
2. Joseph Mungai (Mufindi Kaskazini)
3. Raphael Mwalyosi (Ludewa)
4. Jackson Makweta (Njombe Kaskazini)
5. Monica Mbega (Iringa Mjini)
6. Yono Kevela (Njombe Magharibi)
7. Felix Mrema (Arusha Mjini)
8. Prof Philemon Sarungi (Rorya)
9. Dk James Wanyancha (Serengeti)
10. Ramadhan Maneno (Chalinze)
11. John Shibuda (Maswa)
12. Bujiku Sakila (Kwimba)
13. Mudhihir Mudhihir (Mchinga)
14. Tatu Ntimizi (Igalula)
15. Said Nkumba (Sikonge)
16. Siraju Kaboyonga (Tabora Mjini)
17. James Nsekela (Tabora Kaskazini)
18. Jackob Shibiliti (Misungwi)
19. Joel Bendera (Korogwe Mjini)
20. Samuel Chitalilo (Buchosa)
21. James Musalika (Nyang'hwale)
22. Ernest Mabina (Geita)
23. Charles Mlingwa (Shinyanga Mjini)
24. Kilontsi Mporogomyi (Kasulu Magharibi)
25. Manju Msambya (Kigoma Kusini)
26. Juma Ngasongwa (Ulanga Magharibi)
27. Suleiman Sadiq Murad (Mvomero)
28. Mwichoum Msomi (Kigamboni)
29. Felix Kijiko (Muhambwe)
30. Ruth Msafiri (Muleba Kaskazini)
31. Pascal Degera (Kondoa Kusini)
32. Zainab Gama (Kibaha Mjini)
33. Prof Idriss Mtulia (Kibiti)
34. Ibrahim Msabaha (Kibaha Vijijini)
35. Joseph Mungai (Mufindi Kaskazini)
36. Benito Malangalila (Mufindi Kusini)
37. Esterina Kilasi (Mbarali)
38. Guido Sigonda (Songwe)
39. Nazir Karamagi (Bukoba Vijijini)
40. Mgana Msindai (Iramba Mashariki)
41. Ludovick Mwananzila (Kalambo)
42. Clemence Lyamba (Mikumi)
43. Damas Paschal Nakei ( Babati Vijijni)
44. Charles Kajege (Mwibara)
45. Bakari Mwapachu (Tanga Mjini)
46. Diodorus Kamala (Nkenge)
47. Suleiman Kumchaya (Lulindi)
48. Wilson Masilingi (Muleba Kusini)
49. Shamsa Mwangunga (Ubungo)
50. Raphael Chegeni (Busega)
51. Juma Kilimbah (Iramba Mashariki)
52. Aloyce Kimaro (Vunjo)
53. Mohamed Sinani (Mtwara Vijijini)
54. Raynald Mrope (Masasi)
55. Freethan Banyikwa (Ngara)
56. Ponsian Nyami (Nkasi)
57. Elisa Mollel (Arumeru Magharibi)
58. Dunstan Mkapa (Nanyumbu)
59.Mwantumu Mahiza (Mkinga)
60. Mhandisi Laws Mhina (Korogwe Vijijini)
61. Mohamed Rished (Pangani)
 
Pole na misukosuko ya TAKUKURU mpwa angalau sasa tubia tunashuka

Mkuu nilikoswa koswa eti rushwa ya ngono!! Mzee nimepata anguko la aibu, kura 3 tu ama kweli siasa balaaa
 
Mkuu nilikoswa koswa eti rushwa ya ngono!! Mzee nimepata anguko la aibu, kura 3 tu ama kweli siasa balaaa

Hahahaha pole mkuu siasa za Bongo zinawenyewe mpwa.
Mi nasikitika kwa kunitosa katika kampeni maana mm ningekupigia kampeni bar mpaka ushinde.
 
Hahahaha pole mkuu siasa za Bongo zinawenyewe mpwa.
Mi nasikitika kwa kunitosa katika kampeni maana mm ningekupigia kampeni bar mpaka ushinde.

Niliogopa washikaji wa JF....fitna mingi walio wengi hahahahahahahahahahahaahahah
 
2. Joseph Mungai (Mufindi Kaskazini)
35. Joseph Mungai (Mufindi Kaskazini)

Huyo yuko twice hapo, mkuu unaweza edit ili tuwe na accurate figure
 
Tingatinga kang'olewa na bajaji? nauhakika mwaka huu majimbo mengi yanakwenda upinzani
 
Hivi Ritha Mlaki na yeye vp?
Alipona kweli?
 
Hivi Ritha Mlaki na yeye vp?
Alipona kweli?

Huyu mjanja sana aliliachia jimbo akarusha kete kwenye viti maalumu na kapeta anarudi mjengoni kula jasho la watanzania kama kawa
 
Niliogopa washikaji wa JF....fitna mingi walio wengi hahahahahahahahahahahaahahah

Kumbe unalijua lol watu wakiamua kukomaa na wewe mpaka nje ya ulingo unao tu hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…