Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

49. Shamsa Mwangunga (Ubungo)

Shamsa Mwangunga hakuwa mbunge wa Ubungo. Alitokea viti maalumu. Mbunge wa Ubunge (2005-10) ambaye alimwibia kura John Mnyika alikuwa Charles Keenja. Huyo (Keenja) pamoja na baadhi ya wazee kama Mzindakaya na Kimiti walijiwahi kama mbayuwayu. Hawakugombea!!
 
Lakini Shamsa Mwangunga kagombea safari hii jimbo la Ubungo......kwa habari zisizo rasmi nasikia kaangukia pua!!

Jamani vipi Temeke, ubungo na Kinondoni bado wanahesabu kura??? Mbona sijasikia washindi?
 
Huyu mjanja sana aliliachia jimbo akarusha kete kwenye viti maalumu na kapeta anarudi mjengoni kula jasho la watanzania kama kawa

Kuna kipindi niliwahi kusikia kuwa viti maalumu ni kwa ajili ya kuwapa uzoefu wamama ili wawe na confidence ya kugombea majimboni. na kama sikosei kuna wakati walitaka kuweka muda wa mmama kugombea ubunge thru viti maalumu ili kuwapa wamama wachanga fursa ya kuingia huko. Inakuwaje huyu mama mzoefu kisiasa anaachia jimbo na kurudi viti maalumu? si ni kuwanyima nafasi chipukizi wa siasa?
 
Dim Sound As New System.Media.SoundPlayer()

Kuna mtu mwenye matokeo ya huko yalikuwaje? at least mshindi ni nani? Maana Masako alikuwemo humo na ITV sijasikia kitu!

Counts sina, ila mshindi ni Dr Haji Mponda, mfanyakazi wa kituo cha utafiti wa afya cha Ifakara.
 
Wazee waliambiwa ng'atukeni wakagoma, kwani walinogewa na"uchifu " hata ze komedy waliwaonya hao wazee lakini wapi ,wenzaoa akina Mzindakaya walishasoma alama za nyakati,wakakumbuka zile aibu walizopata 2005 walipokuwa wanazomewa mbele ya mkulu wa chama wakaona isiwe tabu,ingawa hawakupenda kuondoka ilibidi wajiondoe ili angalau wapate vijiheshima.
 
Jamani NGASONGWA NAE KAANGUKIA PUA.....shame on him!
hongera Mponda bila shaka utafanya mambo mtafiti
mix with yours
 
Hawa nao vipi?
Omar Kwaang' (Babati Mjini).
Abdulkarim Shah (Mafia).
William Shelukindo (Bumbuli).
Thomas Mwang'onda (kuteuliwa/Mbeya mjini)
Dr.Aisha Kigoda (kuteuliwa/Kilindi).
Lucas Selelii (Nzega)
 
Mkuu...safi kwa analysis yako...lakini nadhani unatakiwa ukae mkao wa kui-update hii list muda wote. Wadau wamekupa majina zaidi! But safi sana.
 
Jaman Sophia Simba na Yeye ajaangukia pua kweli?
Sophia Simba ni mbunge tayari. Anasubiri kuapa tu. Mwenyekiti wa UWT( T) ni Mbunge namba 1 wa VITI MAALUM. Democrasia ya Kitanzania hiyo!
 
mkuu...safi kwa analysis yako...lakini nadhani unatakiwa ukae mkao wa kui-update hii list muda wote. Wadau wamekupa majina zaidi! But safi sana.

uko thawa kabitha!
Hii list inasemekana mpaka jana jioni,ilisoma no.90.....this is about 30% ya wabunge tena machachari wa chama twawala wanaaga mjengo..

Kwa wachambuzi wa siasa inaashiria nini hii?
 
Tukumbuke tu jambo moja. Hawa wameanguka tu kura za MAONI. Mchakato bado haujakamilika. Vikao vya juu vya CCM, CC na NEC bado vinaweza kuwateua ingawa mchezo kama huu ndio ulio wagarimu watu kama Dr Slaa.
 
Back
Top Bottom