OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
- Thread starter
- #21
Bilioni 1.56
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilioni 1.56
Tupo pamoja mkuu.Mimi naomba niweke wazi ushindi huu unaihusu simba sports club, mashabiki Wa simba sc na watanzania wengine wwlioitakia mema simba. Hao waliokuwa wanashabikia wageni dadekiii hawahusiki na kitu na wasijifiche kwenye utaifa kabisaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mkuu.
Sitaki hata kuwasikia wapinzani wakiungana na sisi.
Wakafie mbele huko na aibu zao.
Simba ilibezwa sana,ilidhihakiwa sana.Walishangilia sana tulivyopigwa goli la mwanzo wakasahau kuwa Simba Ina uwezo wa kubadilisha matokeo.
Wakafie mbele .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shaffi Sauda ni underdog wa mwaka huu
Yanga ikumbukwe jamani yaani bilioni 1.56= 1+0.5+0.06 angalau wapewe hiyo 0.06 ambayo ni milioni 60 itawasongeza kidogo au waonaje?Bilioni 1.56
Simba hapa ndio mwisho wenu, hii ni kutokana na kupigwa hamsa hamsa mkiwa ugenini .....
Sent using Jamii Forums mobile app