Waliotubeza Simba SC tunawasamehe,tufurahi pamoja!!

Ukweli wa kimpira ni kwamba Simba ni underdog aliefika robo fainali ukweli huu hautabadilishwa, haya mambo ya kupindua odds yako sehemu yoyoye duniani so hutokea si jambo jipya underdog kuwatesa vigogo.Leicester pale England ni underdog aliebeba ubingwa kabisa so Simba you have No way but to swallow this bitter truth brothers you are still underdog Nevertheless they managed to advance.
 
Tupo pamoja mkuu.

Sitaki hata kuwasikia wapinzani wakiungana na sisi.
Wakafie mbele huko na aibu zao.
Simba ilibezwa sana,ilidhihakiwa sana.Walishangilia sana tulivyopigwa goli la mwanzo wakasahau kuwa Simba Ina uwezo wa kubadilisha matokeo.

Wakafie mbele .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafie mbele kabisa huu ni ushindi Wa simba na mashabiki Wa simba haina uhusiano na mashabiki wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo wengi huwa wanaenda kwa kukaririshwa, ila chochote huwa kinaweza totkea watua wakiamua na wakijituma kufa kupoa,
kitendo cha simba kufanya mabadiliko na kushambulia kwakujua hakuna tena cha kupoteza kimeletea taifa heshima na sifa ya kipekee,
pongezi nyingi wa Timu ya simba na Taifa kwa pamoja heshima ya simba ni ya Taifa waropokaji ni wavunja mioyo ya watanzania ila Manara huwa anajua kuwapa nguvu sana mashabiki hata walewalovunjia mioyo
Mungu bariki tanzania Mungu bariki simba
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…