Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
pamoja na ushindi wake wa kula mil 31 😂😂😂😂Huyu jamaa hapendei nje ndani
yaani wakufuge kama simblisi alafu uwainulie mkia nyooo?Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.
Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊
Tulidhani wazungu hawajui kiswahili kumbe ni balaaa.Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.
Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊
Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.
Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊
Ombaomba wa barabarani anapomkoromea tajiri mkarimu, matokeo yake ndo hayo. Unakuwa masikini halafu unaleta ka-mdomo?
Eti anadanganya akidhani watu wanadanganyika tena, ‘watu walipiga kura asubuhi mapema kabla ya maandamano kuanza ile saa nne/ tano asubuhi. Watu milioni 32 walishapiga kura tangu vituo vifunguliwe mpaka vijana walipotoka kuanza vurugu’!!!! 🤣🤣🤣pamoja na ushindi wake wa kula mil 31 😂😂😂😂
Hii quote ni ya yule mwanadiplomasia wa China na si Tanzania.Hawawezi Fanya kitu...Tanzania will allow you to fire the first shot but Will not allow you fire the second shot; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States of America.
USA Sasa hivi wataomba PO...!
Hii quote ni ya yule mwanadiplomasia wa China na si Tanzania.
Tanzania can't even pull a trigger kuelekea USA.
Uchumi gani unazungumzia hapa ikiwa mpaka leo mnawategemea hao hao wawakopeshe na kila bajeti mnayo set inategemea na watakachowapa?Brother, USA na EU kwenye Vita ya Uchumi, TANZANIA ndiyo mbabe wao...walianza tangu 2017 hadi Sasa TISS wameshinda 3 bila...CIA na Ford Foundation wanahaha...!