Walioulizwa “WHO ARE YOU” wameanza kujitambulisha ‘guys guys

Walioulizwa “WHO ARE YOU” wameanza kujitambulisha ‘guys guys

Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.

Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊
yaani wakufuge kama simblisi alafu uwainulie mkia nyooo?
 
Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.

Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊
Tulidhani wazungu hawajui kiswahili kumbe ni balaaa.
 
Waambie hayo masharti tumekubali ila kwa sharti moja, hao mabalozi zao 17 waje tuwaweke mahabusu wao ili hao wanaowataka waachiwe watoke.
 
Screenshot_20251120-220343~2.png
 
Jana alhamisi na leo ijumaa tumeshuhudia balozi 17 zilizoko nchini, na maseneta wa Marekani wakilaani na kuitaka serikali kuachia mateka/wafungwa wa kisiasa na kurudisha maiti za maelfu waliouawa kwenye MO29.

Mama: who are you?
Wamejibu: We gotta you 😊


Hawawezi Fanya kitu...Tanzania will allow you to fire the first shot but Will not allow you fire the second shot; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States of America.

USA Sasa hivi wataomba PO...!
 
Ombaomba wa barabarani anapomkoromea tajiri mkarimu, matokeo yake ndo hayo. Unakuwa masikini halafu unaleta ka-mdomo?

Tanzania will allow you to fire the first shot, but it will never allow you to fire the second one; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States of America.

USA wameshaanza kuomba PO, moto wanaopelekewa na Tanzania hadi wenyewe wamekimbia....Vita ya Kiuchumi kwa Ukanda Mzima wa Afrika ni Tanzania tu
 
Kijana akamuuliza Danzel are you warning me? Danzel akajibu "im preparing you"
 
pamoja na ushindi wake wa kula mil 31 😂😂😂😂
Eti anadanganya akidhani watu wanadanganyika tena, ‘watu walipiga kura asubuhi mapema kabla ya maandamano kuanza ile saa nne/ tano asubuhi. Watu milioni 32 walishapiga kura tangu vituo vifunguliwe mpaka vijana walipotoka kuanza vurugu’!!!! 🤣🤣🤣

Yani huyu mama shida yake kubwa ni kudhani Watanzania ni wajinga. Mara ‘asilimia 98 ni za waliopiga kura’.. Kama ni za waliopiga kura, wangeacha idadi halisi hata kama ni watu laki 1. Sasa wamepigaje kura watu milioni 32 kwa masaa mawili!!! Kituo chake tu yeye hakikuwa na watu zaidi ya 50. Anakuwaga anajichanganya hapohapo kwenye kuongea, ILA sasa mipasho inayomtoka, pumba.com
 
Hawawezi Fanya kitu...Tanzania will allow you to fire the first shot but Will not allow you fire the second shot; it will make sure to strike you in a way that causes major consequences for the United States of America.

USA Sasa hivi wataomba PO...!
Hii quote ni ya yule mwanadiplomasia wa China na si Tanzania.
Tanzania can't even pull a trigger kuelekea USA.
 
Hii quote ni ya yule mwanadiplomasia wa China na si Tanzania.
Tanzania can't even pull a trigger kuelekea USA.

Brother, USA na EU kwenye Vita ya Uchumi, TANZANIA ndiyo mbabe wao...walianza tangu 2017 hadi Sasa TISS wameshinda 3 bila...CIA na Ford Foundation wanahaha...!
 
Brother, USA na EU kwenye Vita ya Uchumi, TANZANIA ndiyo mbabe wao...walianza tangu 2017 hadi Sasa TISS wameshinda 3 bila...CIA na Ford Foundation wanahaha...!
Uchumi gani unazungumzia hapa ikiwa mpaka leo mnawategemea hao hao wawakopeshe na kila bajeti mnayo set inategemea na watakachowapa?

Uchumi gani unazungumzia wakati hadi visima vya maji mnategemea hisani kutoka kwa hao mabeneru au wajomba zenu wa Emirates?

Porojo tupu
 
Back
Top Bottom