StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Haiwezekani gari aliunde mwingine halafu wewe ujifanye unajua kuliendesha bila kumuuliza muundaji linaendeshwaje. Nachelewa kusema utasababisha maafa tu.
Si ajabu kuona wimbi la 'vita' Kati ya Wanawake na Wanaume likizidi kupamba Moto siku hadi siku kwa sababu wengi wamechagua kuishi kwa kuzitumainia akili zao wenyewe na kumpuuza Mungu Muumba wao.
Ukjitia kiherehere cha kutaka kuliendesha gari ambalo hujaliunda wewe pasipo mwongozo na msaada wa aliyeliunda,lazima utaangukia pua tu. It's a matter of time!.
Binafsi nimechagua kuishi kwa kumtumaini Mungu muumba wangu ambaye kimsingi ndiye mwenye 'detailed manual script' ya maisha yangu yote ya hapa duniani.
Tazama Mungu alijua fika mimi student teacher nahitaji Mke ambaye atakuwa anaona fahari na furaha moyoni mwake kuwa submissive kwangu,kisha akanikirimia.
Nakiri wazi kwamba Mungu amejua kunifurahisha sana!. Moyo wangu haukauki shukrani kwa Mungu kila nimkifikiria Mke wangu kipenzi niliyebarikiwa naye!. What a submissive wife!.
Utii wake kwangu unanipa Amani na utulivu wa Nafsi katika kuyafanya yote yanipasayo kwa bidii.
Nachelea kusema aina hii ya Mke ni mpaka Mungu akushushie kwa sababu ni viumbe adimu sana kupatikana especially kwenye dunia hii ambayo wanawake wanafundishana na kuhamasishana kupambana na waume zao badala ya kushirikiana nao!. Ni kizazi cha 'manunda' hiki ambacho Mke kuwa submissive kwa mume wake anaona kama anatoa 'favour'. Anaona ni mzigo mzito.
Hata hivyo yote kwa yote wanaume wengi ndio waliohusika kwa kiasi kikubwa kuwaharibu wanawake na kuwafanya wawe 'defensive' badala ya kuwa 'cooperative'. Rejea maazimio ya 'Beijing conference'(Biashara ya kumpuuza Mungu hailipi)
Anyway ngoja niendelee kuwa mpenzi mtazamaji wa mtanange huu kwa sababu sina chochote cha kufanya kuweza kurescue hali ambayo kimsingi watu wazima na akili zao timamu wanajisababishia wao wenyewe kwa kiburi chao!
WAGALATIA 6
7 Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
MITHALI 3
5 Mtumaini Bwana kwa moyo wako wote, Wala usizitegemee akili zako mwenyewe;
6 Katika njia zako zote mkiri yeye, Naye atayanyosha mapito yako.