Walioupande wa Lissu ni wale waliowahi kupata misukosuko ya mapambano G55 hawajawahi. chunguzeni

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.

Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk.

Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano na mikikimikiki tofauti na akina Mrema wachumia tumbo na starehe. Chadema yenye misingi original na maslahi mapana ya wananchi ni ya Lissu(looking for long term solutions)Tofautisheni rangi za hawa makamanda mtawajua.
 
ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini. Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Rais Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk. Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano tofauti na akina Mrema wachumia tumbo. Tofautisheni rangi za hawa makamanda.
😀😀
 
Tupe orodha yao tujiridhishe

Sugu ni G55 lakini aliwahi kuzolewa mzobe mzobe bungeni na askari

Boniya ni G55 lakini kakaa sana Jela
 
Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.

Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk.

Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano na mikikimikiki tofauti na akina Mrema wachumia tumbo na starehe. Chadema yenye misingi original na maslahi mapana ya wananchi ni ya Lissu(looking for long term solutions)Tofautisheni rangi za hawa makamanda mtawajua.
ukiwa mropokaji na mkiuka sheria mwenye kiburi, unaachaje kupata matatizo gentleman?

sio Lazima upate matatizo ndio uonekane shujaa.
Tuige mfano wa hayati mwalimu Nyerere kufanya siasa kistaarabu na kwa kutumia akili na mipango bila uropokaji 🐒
 
Hao akina Mrema ndio lilikuwa kundi la wapigaji hadi kuharibu taswira ya cdm. Kila mara anaongelea uchaguzi, sijui ruzuku na upuuzi kama huo. Hawana uwezo wa kusacrife, wao ni washiriki wapewe hela za kipuuzi kwenye miafaka fake wapete vijihela vya bia.
 
Hivi ni wapi Mrema aliwahi kulala sero kwa ajili ya Chadema? Nilimuamini sana lakini nimemdharau vibaya sana!
 
ukiwa mropokaji na mkiuka sheria mwenye kiburi, unaachaje kupata matatizo gentleman?

sio Lazima upate matatizo ndio uonekane shujaa.
Tuige mfano wa hayati mwalimu Nyerere kufanya siasa kistaarabu na kwa kutumia akili na mipango bila uropokaji 🐒
Soma historia vizuri, the aftermath of WWI ba sera za USA kuhusu decolonization. Huyohuyo mwalimu Nyerere alifadhili armed struggle katika nchi kadhaa kusini mwa Africa
 
aliwahi kuropoka wapi au kukiuka sheria za wapi kwa kiburi kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?🐒
 
Kuropoka CCM mnaongoza.
1. Mwenezi aliposema CHADEMA wanataka kuleta Ebola na MPox huko sio kuropoka?
2. Walioimba wapinzani wakifa wao hawawezi kulia, watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba!! hao sio waropokaji!
 
aliwahi kuropoka wapi au kukiuka sheria za wapi kwa kiburi kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?🐒
Kuropoka wanaropoka wote.
1. Mwenezi aliposema CHADEMA wanataka kuleta Ebola na MPox huko sio kuropoka?
2. Walioimba wapinzani wakifa wao hawawezi kulia, watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba!! hao sio waropokaji!
 
Kuropoka wanaropoka wote.
1. Mwenezi aliposema CHADEMA wanataka kuleta Ebola na MPox huko sio kuropoka?
2. Walioimba wapinzani wakifa wao hawawezi kulia, watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba!! hao sio waropokaji!
jikite kwenye hoja mahususi gentleman,
hakuna mropokaji alie wahi kufanikiwa kwenye siasa duniani 🐒
 
Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.

Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk.

Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano na mikikimikiki tofauti na akina Mrema wachumia tumbo na starehe. Chadema yenye misingi original na maslahi mapana ya wananchi ni ya Lissu(looking for long term solutions)Tofautisheni rangi za hawa makamanda mtawajua.
Watoto wa MBOWE
 
Back
Top Bottom