Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
ππukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini. Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Rais Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk. Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano tofauti na akina Mrema wachumia tumbo. Tofautisheni rangi za hawa makamanda.
ukiwa mropokaji na mkiuka sheria mwenye kiburi, unaachaje kupata matatizo gentleman?Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.
Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk.
Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano na mikikimikiki tofauti na akina Mrema wachumia tumbo na starehe. Chadema yenye misingi original na maslahi mapana ya wananchi ni ya Lissu(looking for long term solutions)Tofautisheni rangi za hawa makamanda mtawajua.
Hao akina Mrema ndio lilikuwa kundi la wapigaji hadi kuharibu taswira ya cdm. Kila mara anaongelea uchaguzi, sijui ruzuku na upuuzi kama huo. Hawana uwezo wa kusacrife, wao ni washiriki wapewe hela za kipuuzi kwenye miafaka fake wapete vijihela vya bia.Ukichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.
Na ndiyo siasa zao za kusaka fursa. Angalia historia ya Lema, Boniyai, Heche, Tundu Lissu,Pambalu,na Rais wa Mbeya Sugu nk.
Hili ni kundi gumu silo la kutishwa sana siasa zao ni za mapambano na mikikimikiki tofauti na akina Mrema wachumia tumbo na starehe. Chadema yenye misingi original na maslahi mapana ya wananchi ni ya Lissu(looking for long term solutions)Tofautisheni rangi za hawa makamanda mtawajua.
Hivi ni wapi Mrema aliwahi kulala sero kwa ajili ya Chadema? Nilimuamini sana lakini nimemdharau vibaya sana!Hao akina Mrema ndio lilikuwa kundi la wapigaji hadi kuharibu taswira ya cdm. Kila mara anaongelea uchaguzi, sijui ruzuku na upuuzi kama huo. Hawana uwezo wa kusacrife, wao ni washiriki wapewe hela za kipuuzi kwenye miafaka fake wapete vijihela vya bia.
Alikunywa bia 19 ili kumsaia Sugu kushinda kanda ya Nyasaland πHivi ni wapi Mrema aliwahi kulala sero kwa ajili ya Chadema? Nilimuamini sana lakini nimemdharau vibaya sana!
ukweli wa hilo hakuna, ila ni mtu wa hovyo aliyekosa hoja na alitembelea nyota ya Chadema tuAlikunywa bia 19 ili kumsaia Sugu kushinda kanda ya Nyasaland π
Mzee Mgaya hajawshi kuwaonya vijana wanywa bia kama Mrema?Alikunywa bia 19 ili kumsaia Sugu kushinda kanda ya Nyasaland π
Soma historia vizuri, the aftermath of WWI ba sera za USA kuhusu decolonization. Huyohuyo mwalimu Nyerere alifadhili armed struggle katika nchi kadhaa kusini mwa Africaukiwa mropokaji na mkiuka sheria mwenye kiburi, unaachaje kupata matatizo gentleman?
sio Lazima upate matatizo ndio uonekane shujaa.
Tuige mfano wa hayati mwalimu Nyerere kufanya siasa kistaarabu na kwa kutumia akili na mipango bila uropokaji π
aliwahi kuropoka wapi au kukiuka sheria za wapi kwa kiburi kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?πSoma historia vizuri, the aftermath of WWI ba sera za USA kuhusu decolonization. Huyohuyo mwalimu Nyerere alifadhili armed struggle katika nchi kadhaa kusini mwa Africa
Kuropoka CCM mnaongoza.aliwahi kuropoka wapi au kukiuka sheria za wapi kwa kiburi kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?π
Kuropoka wanaropoka wote.aliwahi kuropoka wapi au kukiuka sheria za wapi kwa kiburi kama hawa vibaka na matapeli wa kisiasa nchini?π
jikite kwenye hoja mahususi gentleman,Kuropoka wanaropoka wote.
1. Mwenezi aliposema CHADEMA wanataka kuleta Ebola na MPox huko sio kuropoka?
2. Walioimba wapinzani wakifa wao hawawezi kulia, watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba!! hao sio waropokaji!
Watoto wa MBOWEUkichunguza kwa kina Mrema. Ntobi na wenzake G55 hawajawahi kupata misukosuko na serikali ukiachilia kunywa chai maofisini na siasa laini.