Waliowahi kufika DRC (Congo Kinshasa)

Uache wosia kabisa usije ukawaachia kitimtim Ndugu
 
Usimtishe hizo ndege za kirusi unapandia dar ? Mbn akina Eng hersi anaenda sana kinshansa ?

Ubovu wa barabara sawa na si ndege mkuu
 
Ahsante sana.
Vipi hapo Katanga ndio panaitwa Mbujimai Katanga anapopaimba Def Defao?
Nasikia kuna sehemu ndani ya Congo kinshasa uchawi unauzwa magengeni?
Katanga ilikua jumbo now limegawanywa
Katanga maarufu kwa colbat.

Mbujimaji. Ni jimbo la kasai huko kuna airport ya kananga
Mbuji mai maarufu.kwa al mas na dhahabu ni jimbo lipo kati kati

Uchawi huko Kasai nyumbani kwa Felix tshisekedi

Njoo rdc ujioneee acha story za vijiweni
 
Yaani sikubali kufa bila ya kufika Congo kinshasa
 
unapopasema panaitwa Pointe noire kule, ila ukifika kinshasa tembelea Mount ngaliema hii ni sehemu ambapo kuna ikulu na pia tembelea mitaa kama gombe hii ni oysterbay ya huko, fika Nsele ukaone mji wa kisasa uliojengwa na Mobutu sese seko pia kuna National park hapo. fika pia palais du people hili ni bunge la DRC
 
mkuu, dec naweza kuja huko nitakucheki bwana kabila,nakumbuka miaka miwili iliyopita ulikana wewe sio kabila😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…