kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
Uache wosia kabisa usije ukawaachia kitimtim NduguHabari wadau,
Recently nimepata kimuhemuhe cha kutaka kutembelea DRC(sio kwa biashara ila ni kwa ajili ya utalii uchwara)
Nifanye road trip mpaka nitokee upande wa pili wa nchi kule kwenye bahari ya Atlantic.
Kuna mtu humu amewahi fanya hii kitu?
Experience ikoje?
Nafahamu fika kwamba Cogo sio sehemu salama sana,lakini bado natamani kujaribu culture yao kwa muda.
Naomba updates.
Asante