Waliowahi kufika Swaziland au walio wanaishi uko tupeni naishi ya huko yakoje

Waliowahi kufika Swaziland au walio wanaishi uko tupeni naishi ya huko yakoje

murume

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
90
Reaction score
80
Wakuu waliowahi kukaa nchini Swaziland au wanaokaa huko ss hv hebu tupeni maisha ya huko yakoje tabia ,Mila,vyakula,gharamaza maisha ,wageni wanachukuliwaje,gharama ya kusafiri hadi huko na mwisho bila kusahau toto's wanapatikana Kwa wageni .kwani Mila zao zinanishangaza sana za kuvaa nusu uchi mbele ya wazazi wao.
IMG_20180704_181737_031.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uoga wa maisha..Nenda South Africa kabisa .Nini Swaziland bana
 
Sasa ulizani ukifika eSwatini utakuta wanawake wapo kama unavyoona kwenye YouTube? Pole

Maisha ya eSwatini ni kama SA tu sababu nchi yenyewe ipo ndani ya SA kama Lesotho 🇱🇸
 
what I know is that a lot of people have HIV/AIDS kama tu SA...Swaziland has the world's highest estimated prevalence rate of HIV-infected adults (26% of people aged 15-49). In addition, Swaziland's TB incidence rate is the highest in the world, and 80% of TB patients are co-infected with HIV. Hivyo ukienda kule jichunge vilivyo...
 
Back
Top Bottom