Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kakurupuka mno

vijana hawa wana mihemko sana 😀😀😀😀😀 hata hajamaliza kusoma amesha reply... hawa dawa yao unawapa round trip ticket ya bangkok au pattaya wakakutane nayo wenyewe
 
Ahahahaha MSIBA HUO MSIBA HUO
 
Bro, kati ya maeneo ambayo usijaribu kutoa dyudyu kwenye boxer basi ni mkoa wa Iringa, si Iringa town, Ifunda wala Mafinga.Kuna ukimwi kisela yani. Atleast two in ten wameukwaa
Asante kwa ushaur mzee baba
 
Nililala kwenye gesti moja imeezekwa na makuti na milango ya salfeti.. hatari sana mwaka 2008, nasubiri boti pale kwenda mafia.
 
Mbeya guest zao ovyo sana.. ila kuna moja ipo mwanjelwa kwa ndan ndan kidog ina afadhali..
Mzee baba upo vizuri. Sio mbaya ukiitaja na jina wadau tukaitembelea. Je huduma ZOTE zinapatikana!? Ninamaanisha ZOOOOTE NA MIDUDU YETU ILE MIZIIIIGO?
 
Hapa nitakua msomaji tu maana sijawahi kuwa mbahili na kulipia gest ya bei ndogo ndogo yakuumiza kichwa changu
Asante mzee baba kwa kutokuwa mmbahili ila kwenye serious note. KULALA KWENYE HIZO SIO SUALA LA UBAHILI ILA NI KWAMBA MAENEO YENYEWE PENGINE HAYANA LODGE/HOTEL KUBWA KUBWA AU ZENYE HADHI.
 
Bro, kati ya maeneo ambayo usijaribu kutoa dyudyu kwenye boxer basi ni mkoa wa Iringa, si Iringa town, Ifunda wala Mafinga.Kuna ukimwi kisela yani. Atleast two in ten wameukwaa
Mkuu ukimwi unaupata sehemu yeyote hata Znz waathirika wapo
 
Hebu nipestory kidogo kwanza ni ongeze maisha
 
Mzee baba upo vizuri. Sio mbaya ukiitaja na jina wadau tukaitembelea. Je huduma ZOTE zinapatikana!? Ninamaanisha ZOOOOTE NA MIDUDU YETU ILE MIZIIIIGO?
Nimeisahau jina mkuu kitambo sana huko mwaka jana.. hahaha hizo huduma hazipo ila unaweza ukasogea pale wanaita mafiat.. ni kama dk 2 kwa gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…