Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan kakurupuka mno

vijana hawa wana mihemko sana 😀😀😀😀😀 hata hajamaliza kusoma amesha reply... hawa dawa yao unawapa round trip ticket ya bangkok au pattaya wakakutane nayo wenyewe
 
Mwaka 2015 nikiwa Mbeya, pale juu ya stendi ya mabasi. Kuna gesti nzuri tu tena ya hali ya juu sana….nililala mapema tu ili niwahi kuhamka kupanda basi langu la kwenda Dar asubuhi (alfajiri). Cha kushangaza nikawa Nasikia kelele toka usingizini, nikahamka nikidhani naota ndoto. Mara nikasikia kelele za utamu wa mtu kubanguliwa zinazidi nje ya dirisha. Ile kuchungulia tu (bila kufungua dirisha) nikoana jamaa anampakua kisamvu mwanamme mwenzake tena wameshika dirisha langu huku wakiligonga kama vile mtu anabanguliwa kitandani. Kwa kweli niliishiwa nguvu, yaani sikuamini jibaba zima kabisa maybe in his 60s anapakuliwa kisamvu na kijana mdogo tu. Sikulala usiku mzima.
Ahahahaha MSIBA HUO MSIBA HUO
 
Bro, kati ya maeneo ambayo usijaribu kutoa dyudyu kwenye boxer basi ni mkoa wa Iringa, si Iringa town, Ifunda wala Mafinga.Kuna ukimwi kisela yani. Atleast two in ten wameukwaa
Asante kwa ushaur mzee baba
 
Nililala kwenye gesti moja imeezekwa na makuti na milango ya salfeti.. hatari sana mwaka 2008, nasubiri boti pale kwenda mafia.
 
Mbeya guest zao ovyo sana.. ila kuna moja ipo mwanjelwa kwa ndan ndan kidog ina afadhali..
Mzee baba upo vizuri. Sio mbaya ukiitaja na jina wadau tukaitembelea. Je huduma ZOTE zinapatikana!? Ninamaanisha ZOOOOTE NA MIDUDU YETU ILE MIZIIIIGO?
 
Hapa nitakua msomaji tu maana sijawahi kuwa mbahili na kulipia gest ya bei ndogo ndogo yakuumiza kichwa changu
Asante mzee baba kwa kutokuwa mmbahili ila kwenye serious note. KULALA KWENYE HIZO SIO SUALA LA UBAHILI ILA NI KWAMBA MAENEO YENYEWE PENGINE HAYANA LODGE/HOTEL KUBWA KUBWA AU ZENYE HADHI.
 
Bro, kati ya maeneo ambayo usijaribu kutoa dyudyu kwenye boxer basi ni mkoa wa Iringa, si Iringa town, Ifunda wala Mafinga.Kuna ukimwi kisela yani. Atleast two in ten wameukwaa
Mkuu ukimwi unaupata sehemu yeyote hata Znz waathirika wapo
 
cha ajabu sasa vurugu zangu zote bongo sijawahi kutokewa na tukio la ajabu zaidi ya kamchepuko kalikuwa kanaumwa presha ya kushuka nilitoka jasho hyo siki japo aliyekuwa anaumwa ni mwingine

yaani nilikuwa najiona kabisa navyotokea front page magazeti ya udaku... Mkaka Mtanashati Afiwa na Demu lodge

ila kisanga ni nilichokutana nacho bangkok huku kuvamia miji ya watu kubaya sana... ni tukio ambalo sitakuja lisahau pombe zilikata hapohapo
Hebu nipestory kidogo kwanza ni ongeze maisha
 
Mzee baba upo vizuri. Sio mbaya ukiitaja na jina wadau tukaitembelea. Je huduma ZOTE zinapatikana!? Ninamaanisha ZOOOOTE NA MIDUDU YETU ILE MIZIIIIGO?
Nimeisahau jina mkuu kitambo sana huko mwaka jana.. hahaha hizo huduma hazipo ila unaweza ukasogea pale wanaita mafiat.. ni kama dk 2 kwa gari
 
Back
Top Bottom