Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€ noma sana. sasa hiyo biashara si imenawiri sana huko

kule kwa hali nilivyoiona nahisi imeharalishwa kabisa.... maana wapo kwanzia barabarani nje ya pubs hadi ndani ...sema ndio inabidi uwe mjanja kujua yupi demu yupi shemale
 
Chai hii
 
hahahah... hivyo vitanda vya zege vipoje mzee baba... yaani kama vimbweta au .

daaaah kweli tembea uone
hahahhahhahaa yaan kinajengwa kitu kama box la mstatili hivi juu kuna uwazi then juu zinawekwa chaga nadhan yule jamaa alitaka kuepuka wale wazee wa kuvunja vitanda
 
Wakuu naiwasilisha na yangu swezi kusahau hii siku katika maisha yangu.
Nakumbuka ilikua mwaka 2016 nilipokua chuo nairobi nilipata dem kutoka eldoret akaamua kuja kunitembelea nikamkodia room katika guest house moja ya chati tu,tulitembea na ilipofika jioni tukarudi zetu na kutaka kuandaana kubadilishana mawazo,katika hali ya kugusa hapa na pale kuandaana nilipiga bao 3 ndani ya dakika 10 badala ya hapo mnyama alilala kma kazimia aisee dem alilia na lipatwa na mshangao sana ila niliamua kumuongezea siku za kukaa pale na nikatak kumhakikishia mie sio fala badala ya mungu anisamehe kilichomkuta.....
 
Nini motive ya kulala!?
 
Bao tatu ndani ya dakika 10?

How did you manage to do that?
 
Inasikitisha lakini, Duh! nilivyocheka hadi naonekana mwehu
 
Na kwanini alie sababu ya kulala kwa mnyama!?
Ah bro dem katoka eldoret hadi nairobi halaf ni dem wangu ukose kumla mambo na mko tayar tayar seriously halaf aone kawaida heheheheeee[emoji1] [emoji1] hicho sio kitu cha kawaida.
 
Story tamu ila imeishia katikati. Baada ya kulala kesho yake ilikuaje
 
Story tamu ila imeishia katikati. Baada ya kulala kesho yake ilikuaje
Heheheee kilichotokea kesho yake ilipigwa game hadi akaomba nimpe nauli arudi kwao mana a.c na maji ya moto haikuweza kumsaidia kujikanda.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Nilishawahi kulala moja mda mfupi hapa kona ya bwiru mwanza wanaita kwa mlendezi aise kitanda kilikuwa kinacheza balaa sasa ikabidi tuhamie chini.... kwa bahati mbaya niliyekuwa naye alikuwa ndio kamaliza chuo cha nesi sasa akadai chini kuna bakteria
 
Duh! gazeti la Kombora bado lipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…