Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

hahahah... hivyo vitanda vya zege vipoje mzee baba... yaani kama vimbweta au .

daaaah kweli tembea uone
Hiki ndio sample ya kitanda cha saruji, hapo bado hakijakamilika
IMG-20180501-WA0044.jpeg
 
Nakumbuka night moja tumetoka club next door alena na mtoto mmoja mkali alikuwa duu wangu wa kitambo tukakutana tukakubaliana kupasha kipolo, moja kwa moja hadi lodge maeneo ya ukonga majumba sita kabla ya kuvuka reli, kuzama ndani kitanda chote kimeloa cjui shahawa, maji au mikojo. Mzee nikakomaa nikapiga kimoja ndio nikawasha moto wanirudishie ela yangu, hapo ishafika 11 alfajir. Ela nikapewa na show nishapiga
 
itakuwa kuna demu alisquirt hapo 😂😂
 
Yan umetoka masaki ukaenda kugongea ukonga? tena lodge? Nahisi una tatzo somewhere
 
Demu alikuwa anakaa maeneo ya goms kwahy ilikuwa kwenye michakato ya kumrudisha home kwao ndio nikasema nizame mahali nipige show ya faster
 
Kwan we wajua bao moja linatakiwa lile dakika ngapi?
Jibu swali basi,binadamu tumetofautiana kimaumbile kila kila mtu ana hisia zake kuna wanao wahi na wengine mpaka ufanye kazi haswa kumfikisha kilimanjaro la sivyo utaishia kumpaka shombo tuu
 
Back
Top Bottom