Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Waliowahi kulala gesti za ajabu na kukutana na visa tukutane hapa

Mkuu mimi nakumbuka nililala guest moja bukoka mjini, mida ya saa nane usiku muhudu akanigongea mlango, kabla sijafungua nikamuuliza kuna nini? Akaniambia 'hebu fungua mara moja' nikafungua akaniambia alisahau kuweka kandambili bafuni.
Wewe jamaa unapewa penati upige kisha unapaisha...!!
 
Mimi pale bugurun baada ya kulipia chumba mhudumu wa guest akaja kuniuliza kama nahitaji huduma ya mauno, nikajivuga nikamwambia aniletee Dada mdogo mdogo asiwe jimama likaniteka usiku dah dakika tano nyingi mlango ukagongwa akaingia na kadada kadogooo kananyonyesha mtoto miezi saba mpaka tisa hivi nikauliza ndo huyu? wakaitikia ndio. Sikumbuki niliwajibu nini ila niliona wanafungua mlango na kuondoka.
Hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nielekeze mtaa niende na mie nahitaji huduma hiyo brother. Seriously

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mauno??????
Mimi pale bugurun baada ya kulipia chumba mhudumu wa guest akaja kuniuliza kama nahitaji huduma ya mauno, nikajivuga nikamwambia aniletee Dada mdogo mdogo asiwe jimama likaniteka usiku dah dakika tano nyingi mlango ukagongwa akaingia na kadada kadogooo kananyonyesha mtoto miezi saba mpaka tisa hivi nikauliza ndo huyu? wakaitikia ndio. Sikumbuki niliwajibu nini ila niliona wanafungua mlango na kuondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du
unawajua SHEMALES kama ni mgeni nao huwezi kujua kama wana dudu hadi ulione

yani wanakuwa wamefanya plastic surgey sura inakuwa ya kike... wana matako wana matiti wana ngozi nyororo wana sauti nyembamba sema wanakuwa dudu ndion awajaondoa ila baada ya hapo niliingia deep kuwastudy shemales yani sasa hivi nawagundua kwa kuwaangalia lips na mashavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa kama komando[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Wazee ngoma ilinikuta Mafinga, nikasogezewa mzigoo kumbe unataka niunyweshe alafu uje kunibania papuchi weeee nikaubana nikauvua Mara paah nikakuta ameweka pedi eti baby nableed. Nikamkomalia nikamwambia nakupiga tg akanywea akatoa kumbe ameweka mitomato sosi kwenye pedi. Asubuhi eti anajidai asante Ila umenisugua vizuri. Huwa tunaweka tomato ili tukilewa wasitusumbue. Ahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana nalo hilo puuuzi
Unaonekana we niziro akilini mwako unataka nikujibu nn au tubishane nn maana unaonekana unamgogoro wanafsi nawatu wa Kisiwa pendwa hivi maisha yakijijini Nani asiyeyajua ni duni iwe bara au visiwani.

Nanani aliekwambia kitanda Cha kamba ni ishara ya umaskini hata wazungu waonalala VIP Villa wanalala kwenye vitanda vya kamba wanaota jua kwenye fukwe Pendwa.
Kalale Kesho Shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom